Recent content by gangmo

  1. G

    Hatuwezi kuyavumia yanayoendelea wilayani Busega

    Busega ni kwetu sasa hali kama hii co nzuuuri kabsaaa,,nashukur sanaaa kwa kutujuza mkuu ngoja tuanze kushughulkia hii inshu kuanzia kesho mambo yatakuwa pouwa huyo kamani na mwenzake chegeni ugomvi wao usituletee sisi shidaa
  2. G

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Mambo ya siasa yana mambo mengi sanaaa mkuu ndo maana watu wanasomea siasa,,na ndo maana mie huwa sipendi sanaaa kujaji chama flan sijui kmefanya hv hv no sifanyagi hvyo aisee kila vyama huwa vnamakosa yake makubwa tu...
  3. G

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Duuu mrs tenaaa ur not serious my love...
  4. G

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Tafakari maisha yako kama mambo ya siasa huyawezi...
  5. G

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Nimewaona wote humu wapumba....kabsa mtu hata hata ajawa mbunge wa viti maalum rasmi af mnaanza kumponda hvyo na wakat bado ana safar kubwa sanaaaa,,watanzania bana mtu akshavuka hatua moja mnaanza kuponda hata kabla hajapita hatua ya pili nyie mafal..... kweli yan
  6. G

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Wewe wajidanganya tu aiseee
  7. G

    Ubunifu wa CHADEMA kifo cha CCM

    Ah wapi wewe wasema
  8. G

    Ubunifu wa CHADEMA kifo cha CCM

    Uliona hao twiga wakati wanasafirishwa na una uthibitisho wowote kuhusu hii inshu kama ni kweli au umesikia bila uthbtsho,,
  9. G

    Ubunifu wa CHADEMA kifo cha CCM

    Hiyo chadema yenu mwisho wa siku mtakimbiana wenyewe,,ngojeni tuone sasa
  10. G

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    Hayo mambo ya kawaida tu kwa binadamu mkuu
  11. G

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    Hataaaaaaaaaaa
  12. G

    Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

    Hata mie nilishangaa sanaa eti alienda kupima DNA,,hivi ni nini kwel maana ya DNA?
Back
Top Bottom