Recent content by Gandachungu

  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

    Hahaaaa! Ndo yale ya Mizengopinda ukileta fujo unapigwa tu!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

    Hvi unajua kuwa walosoma kabla ya shule hizi kuwa nyingi nchini ndo wabunifu, wataalam na viongoz wazur? Elimu ya kpindi cha awal ilimuwezesha mtu kuwa mbunif wa uhakka! Kuanzia wanamichezo, wnamzik, waklima, viongoz n.k. Kwa mpango huu wa kkariri utawapata wap watu hao!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imeamuru Nabii Josephat Mwingira wa Efatha apime DNA kesi ya Ugoni

    Kwani hujasiki msemo kuwa "mchungaji hula kondoo alonona katika wale waliopo kwny kundi lake!" Usishangae sn ndugu yangu ndo siku za mwisho hzo! Andaa moyo wako kumpokea kristo mara ya 2!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mashine ya BVR yaibiwa Nyumba ya Kulala wageni (Guest House)

    Kwan hujui nchi yetu imejaaliwa kuwa na wizi wa kimataifa? Wizi ambao ni smooth bt unaharibu malengo makubwa ambayo n serious issues!!
Back
Top Bottom