Wa ndugu nami yng na mke wng 1.. Akishika mimba zinatoka na 2.. Tukiingiliana kitendo cha ndoa mara dam zinamtoka na 3.. Hua hafiki kwa wakati maan namchezea sn lkn hamna kitu... Naombe mawazo yenu...
Naomben kuuliza mm na mke wng tukifany tendo la ndoa 1.. Hafiki kwa wakati na 2...hua damu zina mtoka ila hii ya damu ndo kubwa na 3... Akishika mimba zinatoka.... Naomben ushauli wenu nifanye nn kuhusu haya......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.