Poleni na shughuli wote kama mtaguswa na tatizo langu mie sina raha hata kidogo tangu nilipotairiwa mwaka jana tarehe 26 .10 badaye nikapona ila nikambiwa nifanye mapenzi baada ya miezi 3 kwa kutumia condom na sita 6 bila kinga.
Lakini nilifanya mapenzi na mpenzi wangu kabla ya miezi 3 so...
Akafanye nini wakati makamanda wametumliwa pale na alikuwa mshiriki mzuri na wote pale wanamjua siku moja walitaka kumkimbia makamanda wakidhani ni TISS.
Katika habari za chini kwa chini zinasema M/kiti wa vijana Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza NCCR - MAGEUZI Bwana Nicolas Clinton anataka kumvaa Wenje katika kinyanganyiro cha ubunge wa jimbo hilo.
Alinitonya anasema Clinton anahaha anafanya vikao ili kufikia uchaguzi chama kiwe kimeimarika...
NCCR - MAGEUZI ina vijana wanaofanya kazi nzuri ya kujenga chama Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza 1. Mwenyekiti wa Jimbo Ndg Nicholas Jovine Clinton. 2. Katibu wa jimbo Shabani Moshi 3. Muhasibu wa Jimbo Mesharck January. Hii ndiyo craw nzima ya Vijana wanaokitumikia chama wakiongozwa na...
Ni Mwenyekiti wa vijana tawi la NCCR - MAGEUZI Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza ahusishwa na wizi wa fedha za wanafunzi walipanga kutembelea hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Inasemekana alikuwa mweka hazina na Afisa habari na mawasiliano ambapo ametumia mwanya huo kuchota fedha hizo
kinasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.