NCCR - MAGEUZI ina vijana wanaofanya kazi nzuri ya kujenga chama Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza 1. Mwenyekiti wa Jimbo Ndg Nicholas Jovine Clinton. 2. Katibu wa jimbo Shabani Moshi 3. Muhasibu wa Jimbo Mesharck January. Hii ndiyo craw nzima ya Vijana wanaokitumikia chama wakiongozwa na Clinton Kijana machachali. Hongera NCCR - MAGEUZI "Pamoja Tutashinda"