Wachezaji wa Yanga wamegomea mazoezi ya leo Ijumaa, huku benchi la Ufundi wakibaki na mshangao kwenye Uwanja wa Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na MCL Digital, Meneja wa Yanga, Salehe Hafidhi amethibitisha kwamba wachezaji watatu wageni ndio waliojitokeza kwenye mazoezi ya leo...
BAADA ya Taarifa kusambaa kwamba Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameandika barua ya kujiuluzu nafasi yake ndani ya timu hiyo, kiongozi huyo ameibuka na kukanusha habari hizo zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Ten aliliambia Mwanaspoti leo Ijumaa kwamba hajafikilia kuiacha Yanga katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.