inashangaza sana, hawa ndugu zetu kwa wingi wao ni wavivu na hao ndio vilaza na wanaoweza kubeza kwa kusema TZ hakuna wasomi. Ni wao na wasiwasi wao tu. mitihani wanafunzi wanatumia namba, sasa je,kuna namba za waislamu na za wakristo?
Mh. Lissu hapo uko sahihi kabisa kwani wajinga hata siku moja hawajui kama wao ni wajinga. we are watching them and there time is already ellapse. muda wa kupeana na kulindana umefikia mwishowe na JK wao.:shetani:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.