Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
Lissu mwanasheria,
Nae analalamika wakati anazijua sheria, kwa nini basi asiwaburuze mahakamani wahusika? au ushahidi hautoshelezi?
Mfano suala la Milion 5, hadi zinaingizwa kwenye account au kupewa cash ilitakiwa wakamatishwe na technologia iliyopo
sasa kwa nini wasirekodi mahojiano ili wafikishwe mahakamani?
Huu ndio udhaifu wa hawa wanaojiita wapinzani, kazi kulalamika tu hata kama wana uwezo wa kitaaluma.
Shame!
harufu mbaya kama ya choo cha shimo cha stesheni ya treni pale tabora.