Recent content by galus saanane

  1. G

    Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    FUTA ILO WAZO LA KUAJIRIWA KWANZA!!! Kuhusu ukasome nin angalia kitu unachokipenda na Malengo nacho! PCM or PCB zote ziko pwoa!
  2. G

    CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

    Una matatizo yasiyosadikika...
  3. G

    Baada ya kupokewa na bendera CHADEMA, Mwigulu amwaga matusi ya nguoni!

    Mwigulu anacheti cha UKICHAA ndo maana CHADEMA hawaez kumshtaki,..
  4. G

    Drama bungeni...

    Mimi naona kama WANAIGIZA... kuzomea/ kuropoka OVYO / kutoka toka NJE OVYO/ kuzunguka zunguka Na KITI mda wote OVYO/ kula KALAMU/ hivi iyo ndio suluhisho ya hoja zinazofukiwa?? Wanaotetea CHAMA na sio waTANZANIA.. Inakera sana na ni aibu kutumia madaraka yako kukandamiza hoja za wengine...
  5. G

    Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

    Matokeo ya kidato cha nne 2012 yanatoka lini?? Wadau mi sielewi apa, kwanini hawatoagi tarehe maalumu,. Wanaficha ficha ili iweje? Matokeo ni lini..?
  6. G

    Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Nina uhakika kwamba kuna dalili ya kufufuka kwa kile chama cha siasa CCJ....
  7. G

    Mgombea binafsi Tanzania: Tatizo ni nini?

    Kwa harakati hizi za kuvuana magamba katika vyama kuna dalili ya kuibuka kwa muswada bunge lijalo kuhusu MGOMBEA BINAFSI 2015 au kuibuka kwa chama kingine cha siasa. Via habari kutoka kwa makala mbalimbali za waandishi wa magazeti yasiyo ya udaku.
  8. G

    Tumekwisha

    juzi Obama katoa slam za UHURU leo GEORGE BUSH na mke wake wamekuja Tanzania kukutana na raisi KIKWETE kuna nini humu "JK TAFAKARI" kuwa makini.......
  9. G

    swali la leo

    Ni wanasiasa gani wanaojua kuropoka bila sababu (taja watano5)
  10. G

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    muungano wa tanganyika na zanzibar ni kuwnchi moja ... Toka lini NCHI MOJA IKAWA NA RAISI WAWILI?
Back
Top Bottom