Recent content by galelee

  1. G

    Ukienda kwa Nabii T.B. Joshua, jihadhari sana

    Ulivyoandika heading na ulivyomalizia ni vitu viwili tofauti mtu yeyote akisoma heading yako atafikiri kuna hatari kule au mambo mabaya
  2. G

    Wajue Wafilisti/Wapalestina

    Sahihi kabisa upo vizuri
  3. G

    Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

    No 8 kwahiyo wanaokwenda makanisani ni mataahira ? Hata wasiokuwa na akili timamu wanaenda na wanapokea uponyaji Mungu anawahitaji waliopondeka mioyo elewa hilo
  4. G

    Gari kuweka tinted inamaanisha nini?

    Tinted inapunguza mionzi ya jua iwapo unatumia ac . Pili ni kwa sababu ya security ya properties zako ulizoziacha ndani ya gari ili mtu asizione kirahisi mf laptop , simu na hat file lako
  5. G

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba ya taarifa sikutajiwa niliambiawa systeam ipo chini.
  6. G

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ukipiga simu hawapokei simu kwa wakati inaita tuuu, ikitokea wamepokea ukieleza shida yako wanakwambia mafundi wanaohusika watakuja kushughulikia tatizo. Shida inakuja ukiomba namba ya taarifa hawakutajii wanakwambia system ipo chini. Utaendelea kufuatilia kuwapigia simu kuwakumbusha...
  7. G

    Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Baada ya serikali kutoa tangazo la kusitisha bei mpya ya vifurushi hasa vya data bado makampuni yamekaza shingo yameongeza bei na hayajarudisha kama ilivyokuwa awali huku suala hili likitafutiwa suluhisho . Je, jeuri hii inatoka wapi?
  8. G

    Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Airtel hawajasitisha mpaka sasa vifurushi vipo juu
  9. G

    Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

    Hata hapa dsm wapo misitu ya pugu na kazi mzumbwi kisarawe.
  10. G

    Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

    Ni mnyama ambae haogopi mnyama yeyote na kwa kucha zake ndefu zinamwezesha kupanda ktk mti akimfukuzia nyoka au hata kula asali.
  11. G

    Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

    Kitu kingine cha ajabu mnyama huyu akiona amezidiwa na adui hutoa ile sehemu ya haja kubwa inafutuka kuja nje na kurusha kinyesi chenye hafufu mbaya sana kiadi kwamba hata simba akiisikia hamsogelei tena.
  12. G

    Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Na wakati akizaa alikuwa anatoa vitoto kimojakimoja kinakuwa ktk kifuko kidogo kisha watoto huinua kichwa kwa nguvu na kutoboa kifuko ndipo hutoka nje na kujilaza ubavuni mwa mama yao ili kupata joto la mama yao aina hii ya nyoka akiona unahatarisha usalama wake huinua mkia wake juu na kutoa...
Back
Top Bottom