Recent content by galaxy 14

  1. G

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa NIDA, vitambulisho vya Taifa

    Una uhakika na uloonge mpuuzi wewe....au ili mradi unacomment uonekane nigome kwa kisa gani...km huna la kushauri kaa kimya...tunajua humu NIDA wapo na watatupa majibu ya nn cha kufanya...SAWA
  2. G

    JamiiForums Tanzania Urasimu wa NIDA, vitambulisho vya Taifa

    Bora useme wewe ....Mimi nI mmoja wapo jina langu halipo halafu wananiuliza eti ulijiandikisha hapa?...WTF ....wakati me ni mzawa zaidi ya miaka 20 hapo....nitakua mjinga nikatafute jina langu wkt sikuandikisha...huu ni upuuzi na uzembe wa NIDA...sielew hatma yangu coz hata hao serikali ya mtaa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Okeeeeey....
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Poa karibu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Soma thread zote...sijazunguka popote.. walioserious nimeshadeal nao...kuna watu kazi yao ni kucomment ili aonekane kacomment
  6. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Bei imewekwa soma thread zote
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Kitimoto ale tani yake....ht paka na kunguru akitaka....narudia hatuna sharti za kijinga...naona dalali barelawyer kaandika no Kitimoto....KWANZA HATUHITAJI MADALALI....kwenye nyumba yetu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Me sie jaman
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwalimu si wa kumchezea..tizama hii

    Akiamua kuharibu ana haribu kweli
  10. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    1) sijapiga kwa kujificha ndio maana mpk ndani nimepiga...hiyo nyumba ni mpya so kuna some parts kulikua na vifaa vya fundi so sikuona sababu ya kuharibu picha 2)sijafanya kusudi kuzigeuza as zilikua sawa wakt naziupload mara nakuta zimejigeuza...ila pic si zinaonekana
  11. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Si lazma uwe unasoma ht km unawork poa..but mtu mmoja insisted
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    Sio guest ni room za kawaida za kuishi for single person...like mwanachuo hivi..si wote tunapenda kubanana room moja watu wanne au sita.....some need privacy....
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rooms available...zinapangishwa

    :sly::sly::sly::sly:
  14. G

    JamiiForums Tanzania SPONSORSHIP...zinapatikanaje.? ?

    Habari..napenda kuuliza..hapa tanzania kuna makampunI yanayotoa sponsorship.. As wanakusomesha humu humu ndani ya nchi...si lazma uende nje ya nchi..lets say mtu hajapata mkopo wa bodi..ila chuo kapata.?, je hayo mashirika yapo
  15. G

    JamiiForums Tanzania Polisi jijini dar wakamata watu wawili wakiwa na bastola katika pikipiki..!!

    Ndo mijambazi yenyewe hii....inakuaga na sura innocent huwezi izania...ikikukuta haina huruma
Back
Top Bottom