Rooms available...zinapangishwa

Rooms available...zinapangishwa

Pia sema size ya vyumba (square m). Term and condition uliyoweka ni moja tu kwamba mtu mmoja, kwa hiyo nikiwa na mke siruhusiwi. Kama sijaoa, kipotable changu pia marufuku? Ni no smocking zone? No kitimoto? au mashariti haya yatatolewa baada ya wewe kupokea chako.

hairuhusiwi kukaangiza kiti moto kitimoto
 
Kitimoto ale tani yake....ht paka na kunguru akitaka....narudia hatuna sharti za kijinga...naona dalali barelawyer kaandika no Kitimoto....KWANZA HATUHITAJI MADALALI....kwenye nyumba yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom