Recent content by Galamgendela

  1. G

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Kinachoendelea ni sahihi, maana msiba upo kwa wazazi wake. Hata kama angekuwa na familia kwa kuwa wazazi wake wapo msiba unakuwa kwa wazazi. Ila wazazi kama wangekuwa wamefariki sawa msiba kuwa kwake.
  2. G

    Nalaani kitendo cha mkuu wa mkoa wa Tabora, Agrey Mwanri kuidhalilisha taaluma ya uhandisi nchini

    Wahandisi wanashindwa kusimamia kazi za ujenzi ndio maana Serikali inapoteza fedha nyingi za ujenzi. Wanaacha kukaa site na kuona kama BOQ zinafuatwa na Contractors. Jamaa kashindwa kusoma vipimo maana vipo tofauti na BOQ inavyosoma. Jiandaeni kisakolojia Wahandisi miaka ya upigaji...
  3. G

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ayakana makontena 20 yaliyokwama bandarini

    Angekubali kuwa yake yangeandikwa Paulo Makonda (Bashite)
  4. G

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Hakuna hasara Serikali haifanyi biashara. Ukisema hasara imepatikan utaitwa mchochezi. Polisi kimoyo moyo wanampongeza Mange kwa kuwa wamelipwa posho ya operation maalum. Hongera sana Mange umefanikiwa sana, maana mimi nilikuelewa kuwa mandamano ni ya wireless. Kweli hakuna alienda barabarani...
  5. G

    Nawauliza wajameni, Mbunge wangu S.H. Amon wa Rungwe yupo?

    Jimbo kauza kwa Mh. Tulia Akson naibu Spika wa Bunge. Yeye hana cha kupoteza yupo busy anauza vipodozi.
  6. G

    Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

    Mleta mada inabidi ukapimwe mkojo wako si bure.
  7. G

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    BASHITE anafumbiwa macho kwa vile MSUKUMA, hili ni jambo la hatari sana. Rais namwamini sana ila katika hili hapana.
  8. G

    Rufaa ya vyeti vyenye utata hadharani, 47% walikuwa wanatumia vyeti visivyo vyao

    Cheti chako ulimpatia binamu yako akapata kazi, wakati wa uhakiki iligundulika cheti kimoja kinatumiwa na watu zaidi ya mmoja. Hilo ni dhahiri baada ya rufaa nusu yao watakuwa ni wenye vyeti halali, nusu nyingine hawana vyeti. Serikali ilaumiwe wapi sasa? , Hapo ni pongezi kwa kazi nzuri kwa...
  9. G

    Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Hojaelewa post. Soma vizuri kwa kurudiarudia utaelewa tu.
  10. G

    Bodi ya Vyombo vya Habari vya CCM yajiuzulu

    Wamelazimishwa kufanya hivyo vinginevyo ingetamkwa BODI IMETUMBULIWA. Hakika hakuna atakayesalia bila kuonja utamu wa kuisoma namba.
  11. G

    Rais Magufuli, Mchawi wa Mzunguko wa fedha nchini ni Serikali kupitia CRDB, NMB na NBC!

    Kamalizie madasa uliyobakiza. Kasome uchumi wa hata kidato cha sita tu itasaidia wewe kuandika vitu vya maana hapa JF vinginevyo wewe endelea na magroup yako ya Whatapp.
Back
Top Bottom