Recent content by Galacha2015

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

    Mkuu mbona umekurupuka utafikiri ulikuwa unaoteshwa,tulia kama unanyolewa wenye masikio na wasikie
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

    hakuna anayemchafua Lowassa, alishajichafua mwenyewe tangu miaka hiyo. Kinachofanyika hapa ni kuuleza umma ukweli kuwa hiyo ndiyo rangi yake halisi na sio kumchafua. Dada Queen pia ahsante kwa kutuhabarisha. Mwenye macho haambiwi tazama
  3. G

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Utafiti wa Urais uliochapishwa na gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Azizi unaoonesha Lowassa anaongoza kwa 52% akifuatiwa na Dr Slaa na January Makamba umetajwa kuwa ni kiini macho na hadaa kwa watanzania, imebainika. Utafiti huu uliokataliwa na wahariri wakuu wa magazeti karibu yote nchini...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Huru kwa Wagombea nafasi ya Urais Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    Mkuu rashidforeseerer naona nawe unatoka nje ya mstari, plz tujadili hoja iliyo mezani. Tuambie Dr. Slaa ana mchango gani kwenye jamii anayotoka
  5. G

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Huru kwa Wagombea nafasi ya Urais Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    Mkuu kiloriti naona umekurupuka mnoo, hebu tulia kisha tujadili hoja iliyo mezani kama Great Thinkers. Usishabikie tu mtu kisa upo kwenye payrol yake. Weka facts kuwa Lowassa ni jembe kwa lipi hasa kuhusu mchango wake kwa jamii anayotoka ya wafugaji.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Huru kwa Wagombea nafasi ya Urais Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    Lowassa, Pinda, Slaa, Lipumba na Membe wana mchango gani kwa jamii wanazotoka? Katika kutathmini mchango wa vinara wa Urais nchini, nimeshawishika kutathmini nguvu zao katika jamii wanazotoka. Hapa nalenga kutazama mchango wa vigogo hawa katika kujenga uchumi wa jamii zao mahali wanazotoka...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Ocampo four umejifunza lini siasa mbona umeanza kutumika kinyume na maumbile mapema namna hiyo. Napenda kujua weledi wako kwenye masuala ya siasa nchini. Huo utafiti hauna reflection ya uhalisia wa matokeo ya uchaguzi ndani ya chama mwakani na nina uhakika kwa utafiti huo wasomi wala wanahabari...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Pinda amwaga mamillioni, zawachanganya wajumbe wa baraza kuu UVCCM taifa leo hii Dodoma

    Mbona upo kimya wadau wanataka ushahidi ili wajadili, acheni kupika majungu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Pinda amwaga mamillioni, zawachanganya wajumbe wa baraza kuu UVCCM taifa leo hii Dodoma

    Bila shaka utakuwa unaongozwa Chuki iliyopindukia badala ya fikra
Back
Top Bottom