Recent content by Gabriel Junior

  1. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Bongo hip hop haiuzi hailipi, Madee uliimba ukweli

    Hip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop " wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana...
  2. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds ndogo ww mzee unajirushaga nn?? Mm cpendelei maan hela unakuw ndogo na mm natak nipige mkwanja mrefu
  3. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Magoli sawa ila GG kuna ligi nyngn hazitoi kbxaa
  4. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah magoli nzuri sema odd ndogo xana live kubet
  5. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Wazo/ushauri wa biashara nina mtaji wa laki tatu (3) Dodoma mjini

    Nipe contact number boss
  6. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Wazo/ushauri wa biashara nina mtaji wa laki tatu (3) Dodoma mjini

    Naipataje hiyo mkuu tufanye biashara
  7. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Afande Sele weka msimamo ubunge utaupata

    Morogoro mjin mbona anakubalika tu jamaa tatizo aliyumba uchaguz uliopita Mara chadema Mara ACT
  8. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Dudubaya - dude

    Hahaaa dudu tafuta kazi ya kufanya
  9. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Afande Sele weka msimamo ubunge utaupata

    Akitulia CCM anawez pata shavuu
  10. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Dudubaya - dude

    Ngoja niiweke nyimbo yake
  11. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Wazo/ushauri wa biashara nina mtaji wa laki tatu (3) Dodoma mjini

    Napenda nifanye chakula kma mchele maharage n.k
  12. Gabriel Junior

    JamiiForums Tanzania Wazo/ushauri wa biashara nina mtaji wa laki tatu (3) Dodoma mjini

    Mimi ni kijana mpambanaji nimeotea laki tatu nataka nifanye biashara kwa wazoefu naombeni mnisaidie biashara gani nifanye itanitoa angalau.
Back
Top Bottom