Recent content by Gabriel Jimmy

  1. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yateketeza CCM Kwimba

    Saaaaaaafi sana watatukana sana but cdm tunasonga mbele na sera za chama chetu!
  2. G

    JamiiForums Tanzania On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

    Ccm kutumia pesa nyingi kukichafua cdm ni kaz bure, tumieni sera zenu kupigana kisiasa mctumie uongo!!!!!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kimeamua kuanzisha Bank

    Naona ccm badala ya siasa kupita pembeni wanaanza kuingia kwenye ufisadi kwa staili nyingine ya mgongo wa bank fanyeni siasa ccm bank kaz kubwa, hapa tu hamna bank mnatukana, je mkiwa na bank c mta ua!!!!!!!!!!!!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa nini? CCM hawapendi kusikia neno kuachia ngazi?

    Ccm wamekula sana kodi za wanachi so wakiachia ngazi chadema itajua mengi sana hususani ujilimbikiaji wa Mali waliokua wanaufanya! Chama Kingine cdm kikiingia wamekwisha hawatapata tena Siri itakua sio siri tena
  5. G

    JamiiForums Tanzania Vita ya Propaganda itaposhindwa tegemeeni haya...

    Ni kwel ccm sasa inajua kwamba kuna kila dalili ya kishidwa wanachokifanya sasa ni kuwahonga sana watu kutumia Mali/kodi za wananchi ilikujaribu kukinusuru ccm ikiwemo na umafia ndani yake!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Badhi Ya Viongozi Zanzibar Wameamuwa kutojishabihisha Na Uisilamu

    Hapo cjaona kama kunatatizo kwa viongoz labda mtoa mada ndo unatatizo la kutojua wajibu wa kiongoz katika nchi! Nakushauri kajipange vizur
  7. G

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Utakufa mwenyewe mkuuu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nape na Kinana kuunguruma Arusha leo

    Ccm wanatabia yakuwabeba wananchi na kuwalipa katika ushangiliaji tuuuuuh! Xo wengi mnao waona wanalipwa den wanasingizia wazalendo wasipolipwa hawonekani!!!!!
  9. G

    JamiiForums Tanzania CCM Ina Sababu za Kumhofia Lema

    Lazma waogope chadema!!!! CDM iko juuuu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Kajipange tena umetumwa vibaya! Waambie wakupe lingine la kusema na maneno mazur ya kushawishi!!!!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je ni televisioni ipi inapendelea kisiasa

    TBC inaongoza
  12. G

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Tupo nyuma ya Dr Slaa hadi mwisho

    Wamekosa sera na wanajarib kutumia siasa za kuchafuana! Hawataweza kabisa wakajipange upyaaaaaaaa!!!!
  13. G

    JamiiForums Tanzania CCM haina jinsi isipokuwa kumshambulia Slaa

    Wanahonga sana vijana mtaani ili kukichafua chama!!!! Wameshindwa kisera sasa wanatumia pesa ni dalili tosha za kushindwa kisiasa!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais katika Katiba mpya!

    Jamani wana jf katika katiba mpya mnashauri nni kuhusiana na madaraka ya Rais!!!!!????
Back
Top Bottom