Ulisubmit maombi yako kweli mkuu ? Maana kama wamekwambia ucontinue na maombi yako ina maanisha huku maliza kufanya maombi na next button nadhani haionekani kutokana na dirisha la maombi kufungwa kwaio system imestopishwa
niliipeleka kwa mafundi wakaiwekea bootloader ikakubali kuwaka ila saivi inazingua tena network inaniambia emergency call only muda wote wakati kabla ilikua vizuri.
Habari zenu wana JF?Naombeni mnisaidie juu ya namna gani ya solve hili tatizo la laptop keyboard kuto kutype while kwenye kuingiza password inakubali ,Laptop ni aina ya Latitude 6500model
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.