Recent content by Gabi247

  1. Gabi247

    Kilimo cha Mpunga

    Kwel mkuu acha tupambane
  2. Gabi247

    Kilimo cha Mpunga

    Asante mr kwa ushauri Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
  3. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    We umeshawah kudraw izo hela toka umejiunga... mana amna hela inaweza kupatkana kirahisi ivo maisha
  4. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Ukisharegister unapataje mpunga mkuuu mana nimechek ila bado cjajua how do u earn money through that site
  5. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Tusaidie kuchek vzur link
  6. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    M nimejaribu izo link zote inagoma mr
  7. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Mkuu m nna swal moja kuhusu freelancer nimeingia nimejisali lkn kwenye usajili wamekata kias flan kwenye account wakt na verify means of payment bado kweny ku contest saiv tena naona wanataka wakate hela nyngne tena iv inakuaje
  8. Gabi247

    Kilimo cha Mpunga

    Average outuput kwa ekar 1 mana sehem nyingne wanasema mazao yakikubar ni gunia 20-30
  9. Gabi247

    Kilimo cha Mpunga

    Uko kukodisha shamba ni shingap mkuu kwa ekar 1
  10. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Ngoja nikapekue ndo nije kuuliza swali God bless u
  11. Gabi247

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Aisee nimepsta kitu Mungu awabariki sana vijana muwe na moyo ivo ivo wakushare madini na wenzenu... haikupunguzii chchte bali Mungu ataendelea kukufungulia zaidi
  12. Gabi247

    Kilimo cha Mpunga

    Thanks mr kwahiyo ulanga umwagiliaji hawafanyi kkabisa au inategemea we umenda msimu gani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gabi247

    Kilimo cha Mpunga

    Wakuu poleni na majukumu nina shida moja nahitaji msaada kidogo kuhusu taarifa au mtu yeyote ambae ameshawai kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji katika mikoa ya Morogoro na Mbeya 1.Kianzio au mtaji kima cha chini 2.muda mzuri wa kulima 3.mbegu aina gani kutokana na msimu 4.changamoto zake...
  14. Gabi247

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Kwa ex0erience yangu kuhusu biashara ya mahindi ukishaona kuanzia mwez wa12 ad wa pili bei haijapanda bora uuze kwa beio ilioko sokon coz mwez wa nne na na watano mahind mapya yanaaza kuingia sokon so ni ngum sna kupanda mara nyng bei hua inapanda mwez wa pili na watatu ispopanda hapo ni bas...
Back
Top Bottom