Mtangazaji Hassan Ngoma wa 360 Clouds TV siku nyingine usirudie tena hii ' dhihaka ' na uwe unapima maneno yako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,551
108,888
Sijajua kama ama ulikuwa unasema kwa Utani tu au labda ulikuwa unamaanisha pengine nawe ukifurahia ' Kutekwa ' kwa Mo Dewji hasa pale uliposema kuwa Yule Kuku aliyeonekana jana kule Stendi Mkoani Tabora aliyekuwa na Hirizi (Traditional Power Bank) labda ndiyo alikuwa Mo Dewji mwenyewe Watekaji wamemfanya awe vile.

Hata kama ulikuwa unatania ila nina uhakika kabisa Umewakwaza sana Ndugu wa Mo Dewji na labda nikuombe tu Siku zingine jaribu kuwa unapima maneno ya kutoa hasa uwapo hewani hapo Runingani kwani unajiharibia kila uchao. Hata Mimi ambaye siyo Mwanafamilia wa Mo Dewji dhihaka yako ile ilinisononesha mno. Najua Wewe ni Mwana Yanga SC tena ' lialia/ ndaki ndaki ' ila nadhani katika hili la Mo Dewji ulipashwa kupima kila neno unalolitoa na umekuwa ni Mtu wa Kupayuka/ Kuzoza sana mara kwa mara. Badilika Ndugu!

Kauli/ Dhihaka yako hii uliitoa leo Saa 1 na dakika 56 asubuhi unaweza ukairudia hapo ulipo na ukaisikia ili uweze Kuthibitisha Wewe binafsi na usiseme labda nimekuzushia au nina ' husuda ' nawe. Una madini sana na uwezo mkubwa wa akili ila ' Mihemko ' huwa inakuzidi na nadhani sasa pia umeanza Kujisahau labda kwakuwa umeanza Kuridhika na mafanikio yako ya hapa na pale hasa ukiwa ndiyo Mjukuu na Mlinzi Mkuu wa Mgodi wa Tanzanite kule Mererani.

Nawasilisha.
 
Sijajua kama ama ulikuwa unasema kwa Utani tu au labda ulikuwa unamaanisha pengine nawe ukifurahia ' Kutekwa ' kwa Mo Dewji hasa pale uliposema kuwa Yule Kuku aliyeonekana jana kule Stendi Mkoani Tabora aliyekuwa na Hirizi ( Traditional Power Bank ) labda ndiyo alikuwa Mo Dewji mwenyewe Watekaji wamemfanya awe vile.

Hata kama ulikuwa unatania ila nina uhakika kabisa Umewakwaza sana Ndugu wa Mo Dewji na labda nikuombe tu Siku zingine jaribu kuwa unapima maneno ya kutoa hasa uwapo hewani hapo Runingani kwani unajiharibia kila uchao. Hata Mimi ambaye siyo Mwanafamilia wa Mo Dewji dhihaka yako ile ilinisononesha mno. Najua Wewe ni Mwana Yanga SC tena ' lia lia / ndaki ndaki ' ila nadhani katika hili la Mo Dewji ulipashwa kupima kila neno unalolitoa na umekuwa ni Mtu wa Kupayuka / Kuzoza sana mara kwa mara. Badilika Ndugu!

Kauli / Dhihaka yako hii uliitoa leo Saa 1 na dakika 56 asubuhi unaweza ukairudia hapo ulipo na ukaisikia ili uweze Kuthibitisha Wewe binafsi na usiseme labda nimekuzushia au nina ' husuda ' nawe. Una madini sana na uwezo mkubwa wa akili ila ' Mihemko ' huwa inakuzidi na nadhani sasa pia umeanza Kujisahau labda kwakuwa umeanza Kuridhika na mafanikio yako ya hapa na pale hasa ukiwa ndiyo Mjukuu na Mlinzi Mkuu wa Mgodi wa Tanzanite kule Mererani.

Nawasilisha.
TCRA hawajaona aisee:mad::mad::mad:
 
Dah asee dogo basi kafanya kitu kibaya sana kwa jamii nadhani wampe ONYO kali huyo dogo na aombe radhi

Na bado hajachelewa Kuomba Radhi hasa kwa Familia ya Mo Dewji na hata Watazamaji wa 360 Clouds tv na ikibidi Watanzania wote. Najua na nina uhakika kuwa alisema tu kwa ' Utani ' ila sidhani kwa hali ilivyo sasa juu ya Sakata zima la ' Kutekwa ' kwa MO Dewji alipashwa aje na ile ' dhihaka ' na bahati nzuri hata alipoisema wala hakuwa na wasiwasi kama ambavyo amekuwa hana wasiwasi pale anapokuwa anapayuka / anazoza kwa mambo mengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom