Recent content by gabi

  1. G

    Kashfa mpya serikali ya Kikwete- waziri atishia wananchi bastola

    kusema humu haitoshi kwani si mumwambie mwanaharisi ataitoa then utaona baba faraja atakavofunguka
  2. G

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Acha kufikiri kama masaburi mwambie baba riz awaambie mafisadi warudishe hela zikanunue madawati, kama hujui jinsi gani taifa limefaidika kutokana na kamumba kaa kimya au muulize nchimbi
  3. G

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    mbona fedha walizoiba kina EL na wenzake hamsemi wamechangia nini wale katika taifa hili? na uyo kuchekacheka ovyo amekula ngapi? je ingekuwa wewe ndo fisadi ungefungua mdomo wako?
  4. G

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    ana mchango mkubwa katika taifa unajifanya hujui? kubaka? uyo binti ni mtoto kwa umri tu mambo ya dunia ni mkubwa na hakubakwa amependa hakulazimishwa au unataka kuniambia uyo mtt mwanaume wa kwanza kumlala ni mpendwa wetu kanumba? unafikiria kama masaburi
  5. G

    Lema apewa chopa kujenga Chadema

    umenena mkubwa
  6. G

    Mgomo wa madaktari haukuongeza vifo: Dr. Nkya

    Tatizo si Nkya bali anaelekezwa cha kufanya na mkulu wake ndio kawaida yao. Mungu atende miujiza tu
  7. G

    Mgomo wa madaktari haukuongeza vifo: Dr. Nkya

    chagueni chadema huenda wao hakajitahidi kuyafanya yale mnayotaka, lakini kumbukeni yeyote aingiae madarakani hatowaridhisha kwa kila jambo coz mengine yanakuwa njee ya uwezo wake na wa tz tuwe na mshikamano kama vile kenya wafanyavyo, sukari ikipanda wanaingia barabarani lakini kwetu tunabaki...
  8. G

    Mbowe atangaza maandamano nchi nzima

    hilo nalo neno magamba hawashindwi, lakini wa tz tunatakiwa tusome alama za nyakati
  9. G

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Chadema oyeeeeee!!! People's......................................power
Back
Top Bottom