Recent content by Gabhiteka Manji

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ingelikuwa ni kosa kubwa mno kwa watu wa kanda ya ziwa kuwaunga mkono hawa wabaguzi,wanaojiona kuwa wanastahili zaidi ya wengine.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Magufuli adhibitiwa na CCM

    Ukawa wanaonyesha kila dalili za kukubali matokeo.Ilikuwa ni dhambi kubwa kumpokea aliyekatwa na CCM kwa kudhani anakubalika licha ya mabaya yake hadi kuitwa gamba
  3. G

    JamiiForums Tanzania Warioba: Apinga kauli zinazotolewa na Lowassa pamoja na Sumaye kwenye mikutano yao ya kampeni

    Haya mabadiliko ni hadaa kubwa mno,Mkapa hakukosea kuwaita hawa watu kwa majina yale.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ufisadi ni agenda endelevu

    Ni Magufuli pekee anayepiga vita rushwa na kubainisha wazi wazi kuwa anaichukia.Akawa hawana agenda hiyo kwa sababu iliyo wazi kwa kuwa na wao wamenunuliwa na fisadi mkuu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbatia anaachwa akimdhalilisha Lowassa?Hili haikubaliki

    Umewateka na kuwakimbiza,uzi mgumu sana kwao.Hakuna mdahalo kamwe kati ya Magufuli na Lowassa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Mshaumia nyie,ni suala la muda tu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kushabikia mabadiliko inapaswa uyafahamu mambo haya kwanza

    Magufuli ni mabadiliko tosha,kuichagua Ukawa isiyo na agenda ya kupiga vita rushwa ni ulimbukeni.Nchi hii imedhoofishwa na kundi la Lowassa na wanamtandao wengine chini ya JK.Magufuli atatuvusha kwa sababu ana malengo ya dhati na anajua madhaifu ya Lowassa na CCM yao,hata kama angesimama kama...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Sumaye awasambaratisha UKAWA mchana kweupe

    Siasa za ulaghai za hawa makapi ya CCM haziwezi kuiokoa nchi hii.Magufuli ni bora kwa sababu ya kusimamia ukweli,nchi inahitaji watu wafanye kazi na kuwa na uongozi bora usio na mawaa.Lowassa asiyeweza kuzungumzia rushwa hawezi kutuokoa kwa sababu hajui tatizo linalotukwamisha ni nini
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Ingeleta maana kama katika kampeni zake,huyu Bwana Lowassa angezungumzia atakavyopambana na rushwa.Kusema atafufua ATC na viwanda pekee haitoshi kama rushwa na ubadhirifu unaomtambulisha yeye na uongozi wake,vitabaki katika dhamira yake inayomsukuma kuutaka urais.Haki ya mnyonge inapotea kwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Na hii inaashiria jinsi ushindi kwa CCM ulivyo dhahiri.Kijikundi cha wapiga kelele humu ndani hakitabadili ukweli kuwa Lowassa hana anachokisimamia chenye tija kwa taifa zaidi ya maslahi yake na kundi la wezi walioiharibu nchi hii kupitia mtandao wao.
  11. G

    JamiiForums Tanzania FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Ni wazi kuwa huu ulikuwa ni mpango wa Ukawa,walijua wazi Lowassa hana uwezo wa kujieleza na afya yake haimruhusu kusimama na kufafanua sera zao.Hii ni aibu na ubakaji wa demokrasia kwa sababu wananchi wamenyimwa uhuru wa kupima na kuchagua yupi wampigie kura.Angalau wakubali ufanyike mdahalo wa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika mtihani mzito, kashfa ya Richmond kufufuliwa upya

    Nimeipenda hii,watu wazima wanajitoa akili kwa kumtaka fisadi.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa sio muarobaini wa matatizo ya Wa-Tanzania

    Na aliyekatwa CCM,akihudumu hadi ngazi ya Waziri Mkuu alisaidia nini hadi leo tumuone kuwa ataipaisha Tanzania angalau ifikie uchumi wa kati.Ukawa ingesimama na viongozi wake,Lowassa alipaswa kuwa mwanachama wa kawaida tu.It's just a wastage of resources and energy to believe that this mediocre...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Polepole bwana

    Msimamo wake umeeleweka, Msigwa kaishia kujaribu kum-attack bila ya kuchambua hoja ya kijana,eti analazimisha ngono na alifanya ubadhirifu wa laki sita.Aibu sana,wananchi wanataka kujua kwa nn huyu mwizi Lowassa anakaribishwa na kupewa fursa adhimu km hiyo?Nini misingi ya Ukawa?mkisema kumuweka...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hii ni vita kati ya Lowassa na Kikwete na sio CCM na UKAWA--NANI MSHINDI?

    Kumbe Lipumba kahongwa?salalaaaa
Back
Top Bottom