Recent content by G4N

  1. G

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Augustino, kaka yake Humphrey Polepole?

    Washamuua tayari
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Huyu form four failure anachefua sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana ni changa la macho kwa vijana

    Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

    Ktk hali isiyokuwa ya kawaida jasusi limemkimbia na kwenda kujificha mahala kuikojulikana. Jasusi hilo lililoahidi kupambana na wowote atakayelichokonoa, limekimbizwa kizembe sana na mama. Juhudi za kufahamu mahala lilipo jasusi litokalolo peponi bado zinaendelea.
  5. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Viongozi wa Dini wapewe nafasi kutafuta muafaka wa Kisiasa nchini ili tushiriki uchaguzi kwa amani

    Samia kabaki peke yake , hata wazee wastaafu wanamkataa
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Ni kweli, kadri umri unavyokwenda marafiki wanapingua. Sababu ni:- 1. Majukumu na mtawanyiko ktk kutafuta maisha. 2. Vifo vya age mates. Watu wa miaka 60+ unakuta agemates wao wengi washatangulia mbele za haki. 3. Magonjwa. Watu wenye umri mkubwa mara nyingi afya zao hutetereka. Ndiyo maana...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kwa sasa inahitaji Rais Dikteta

    Tumuombe Kagame qje atawale
  8. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

    Swali hili aulizwe Samia
  9. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

    Acha ushubwada, serikali ya Samia ndiyo imemjerhi father Kitima
  10. G

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

    Damu ya Mdude Nyagali itamgeuza Abdul kuwa chizi siku si nyingi.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Hao wahuni wako juu ya sheria? Hao wahuni wana nguvu kuliko serikali ya ajuza?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mlindeni Tundu Lissu ikiwezekana kwa Sasa awe anaonana na ndugu tu na sio mtu mwingine pale gerezani

    Mpk sasa Samia hana pa kutokea maana ameligusa kanisa katoliki. Sioni mwanga wa kisiasa wa mama huyu. Sasa akimdhiru Lisu ni kwamba atakuwa anajichimbia kaburi ndani ya kaburi.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

    Samia akivuka kiunzi hiki! Yangu macho
Back
Top Bottom