Hili swali lilishawahi kuulizwa humu tukawajibu, Itifaki inamtambua CDF, IGP, DGIS, Magereza, Uhamiaji etc, huyo DGIS zamani kalikuwa ka section tu ndani ya Jeshi la Polisi Wala hata haikuwa commission.
Unadhani alikatisha mkutano wa G7 na akaondoka kwa dharura , usiku ambao Jengo la Mossad liligongwa na baadhi ya command centers zilikohamishiwa uraiani
Bora hapo sio Mloganzila , ullkienda kutibiwa wanapewa Wanafunzi badala wakutibu wanaanza kukufanyia research, Mungu jalia niishie Hospital ndogo na binafsi
Dogo usijiamini Sana hii inathibitisha wewe sio Mtanzania kama ni Mtanzania si mzalendo. Unajua gharama ya usariti kwa nchi? Shauri yako unadhani hii mitandao ni salama Sana. Wenzako wanamtambo wa kukujua kutumia data (internet) unayotumia Tena kama ni ya simu ndio wanachora tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.