Hii ndo maana tunataka reforms kabsa haiwezkani hela ni yangu mkataba wangu umeisha nataka hela yangu sio mkopo wala nini bado unanipangia namna inavyotakiwa nipewe iyo hela 😔
Ina huzunisha Nawaonea huruma sana hawa wanafunzi wa siku izi embu emagen huyo mdogo ako akifika form 4 atakua anabeba tani ya counter book kabsa kwanza hili swala ingetakiwa wizara ya Elimu ilishughulikie na itoe muongozo na taritabu ambazo zitafutwa kikamilifu na walimu
Shida sana kwakweli na wanavyobeba ivyo sidhani kama wakifika darasani wanaweza kufundishwa kitu na kuelewa watakua wamechoka hoi nikusinzia tu darasani hili jambo ni lakua serious kabsa wizara na yenyewe itilie mkazo
Umenikumbusha kitu pia inakuaje shule za private ndo zinafanya vizuri uki,compare na za government hata kimazingira pia private ndo iko vizuri swali. Je private wana,ela kuwazidi Gvmnt au ni vipi 🤔
Na kingine pia waalimu wazingatia ratiba ya vipindi kwenye ufundishaji sio unakuta leo ni vipindi vinne labda , Historia , kiswahili, Uraia na Hisabati
Tuseme lambda mwalimu wa Historia amepata dharura ajaje ndo anatokea mwalimu wa Kingereza anaingia darasani hii haijakaa sawa kabsa kama...
Elimu ya zamani na saiv imekua nivitu viwili tofauti kabsa, tukiendelea kwa style hii ya kubeba madaftari kama gunia la viazi watoto wetu watakuja kupata shida ya mgongo sana huko mbeleni
Mi napatwa na asira sana nikiwaona stand uko walivyo beba mpaka wanainama , kwamba huko mashuleni hawaweki ratiba za masomo ya siku au vipi na hayo madaftari wanayobeba yote wanayatumia yote kwa siku iyo mi nadhani kuna sehemu kuna shida kwa upande wa waalimu
Noma sana mwanangu unakuta mtoto wa darasa la nne amebeba mzigo wa madafatri mpaka unajiuliza kabeba daftari za shule nzima
Na hesabu ni kuchagua ni hatari 🤔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.