Kwanza kwa ulivyoandika ni dhahir shair utakuwa na kibamia au upungufu WA nguvu za kiume...ukiachana na hayo yoote demu wako anaweza kuwa na shida lkn kwa jinsi ulivyoandika hpa wewe kiazi huna heshima kwa wanawake itakuwa uliokotwa jalalan huna ndugu Wala rafiki na ukijumlisha na kibamiaa...
Ndio shida ya kuingia kwenye ndoa ukiwa umezoea kubet unadhan Kila mahali Kuna double chance na cash out ...hyo Ngoma inahitaji utulivu WA akili na inaonekana kbisaa ulikuwa haupo tayar kuoa ulifata mkumbo wewe au humsikilizi mwanamke wako tambo nying
Hivi Kuna mtu anaingia p hajui??
Kwasababu one thing about that issue unapoteza comfortability ...yaan unashindwa kuwa huru hta kabla hakijaanza ....alafu Huwa Ina harufu mnoo mpka unapeleka mdomo ulimi hukusikia harufu??
Wewe bhana tulia litakalokukuta likukute kujikuta wewe ndio umezaa ngono...
Niko kwenye hiyo situation sahv ...hajali tena kama mwanzo .... anajidai kunijibu short... sometimes unamuuliza kitu anakuja blue tick nilijaribu kumuuliza ubishi mwing sasa na mm ni mzito sana kugombana na mwanaume....lakini kuhudumiwa Bado anafanya kwa u Bora ule ule sema tuu mawasiliano...
Ndioshida ya kusoma na kutokuelimika hajatumia hasira ila alijaribu kueleza mtazamo wake kuhusu katiba mpya acha kupaniki Kila mtu anatoa mtazamo wake hta kukaa chini watu elfu Moja uwezekano wa kuandikaa pumba Ni mkubwa Kwan huwa na kauli Moja kwa kifupi katiba haina uzur wowote mabadiliko...
Huku ndiko mnakojua kutumia sheria kwingne mlikuwa mnatumia nn??
Acheni kuruka ruka hi sindano itamuingia Kila muhusika hvyo tulien tuu mkiwa The Hague hayo maswal yatajibiwa huko
A
ACha kuongea ujingaa wewe unajua kiba na we ni sawa ?endelea kusubir awe masikin bongo bhana ukiwa msanii usipojianika ww na mali zako kwenye media ww ni masikin...mutukomeee hatutakii shoboo mjifunze kubalance shoboo manake huku kwenye media mnatafuta wema machoni pa wanadamu wakati upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.