Recent content by G-Funk

  1. G-Funk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Af kuna mpuuzi anakwambia sex sio lazima ndoa ni majukumu ,😂
  2. G-Funk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Af unakuta ni shababi anaebweka ofisini kila kukicha 😂
  3. G-Funk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Huyo mwamba ana kipaji lakini kutoa excuse miaka 5 na mtu unalala nae kitanda kimoja sio kitu chepesi acha mtoto wa watu aikatae ndoa tu.😁
  4. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Ilikuwa ni mvua ya mavi tu imetapakaa allover the city.
  5. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Yeye alianza kupiga Iran na Iran amejibu shambulizi kisha akaamua aufyate tu😂😂😂
  6. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    Hilo si mnasemaga taifa teule la Mungu, acheni Mungu alitetee sasa shida ni nini kulilia support ya Magharibi
  7. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Subiria malaika aje akuoe. Kuna siku utakuja kujua kuwa una tabia ambayo pia ni kero kwa wanaume.
  8. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Unadhani wakikopeshwa kuna mkuu wa wilaya ataagiza gari ya 500M?
  9. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Ipelekwe afya kwani chenga zake zingekuwa ndogo sasa
  10. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Land Cruiser Prado imetoka new model lazma wanunue 😂
  11. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    sio tu kushindwa yanatafutiwa visingizio lukuki ili yashindwe kufanyika 😂 ila kumlipa mzee Toyota billion 50 aingize hio mikoko umatumbini ni chap sana 😁
  12. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Zinahitajika Bilioni 500 kujenga Barabara zilizoharibiwa na Mvua za El-Nino

    Halafu kuna wakati kikundi cha watu wasiozidi 10 wamepiga hizo hela na mtukanwaji amekaa kimya tu😂
  13. G-Funk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    Hamna ubaya ila atakuwa ananunua mwenyewe naona ndio nzuri zaidi au kama mama yake yupo atamnunulia.
  14. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Naona unaweka ushabiki mandazi mbele kama vile una vinasaba vya kizimkazi kumbe shobo tu. Hajasaliti raia wakati kakumbatia wezi aliowateua kama viongozi wasaidizi kwake. CAG report inaongea kila mwaka
  15. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Mfano hauko relevant, mimi sijaisaliti familia yangu. Nikishindwa jambo mke wangu atanisaidia bila hiyana kabisa. Hakuna siku ntatukanwa sababu sijatengeneza mazingira ya kutukanwa.
Back
Top Bottom