Recent content by g click

  1. g click

    JamiiForums Tanzania Ni nani ameruhusu matangazo ya michezo ya kubahatisha kuanza kutangazwa tena kwenye vyombo vya habari?

    Nilikuwa nawaza kitu hiki hiki naona wamerudi mdogo mdogo kero zinarudi upya.
  2. g click

    JamiiForums Tanzania Angalieni Star tv live NOW!

    Nimewahi kuhudhuria mazishi ya mama mmoja alikuwa akisali kwa hawa watu asee unaweza sema wamepingukiwa na akili.
  3. g click

    JamiiForums Tanzania Tukubali kutokubaliana na uteuzi wa Mnyeti

    Ukiifikiria sana hii nchi na mambo yake unaweza ukachizi ingawa hayakwepeki
  4. g click

    JamiiForums Tanzania Aliyemuita Rais Magufuli kilaza, ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Daaah this country bwana!!!
  5. g click

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Namkumbuka TL aliyaona mapema akajisemea kwa msisitizo ''tuna rais wa ajabu haijapata kutokea``
  6. g click

    JamiiForums Tanzania DAY 64: Majadiliano ya Makinikia yanaendelea ni Serikali Vs Wazungu

    Hivi huwa wanaenda mapumziko kidogo?
  7. g click

    JamiiForums Tanzania Liko wapi tamko la Polepole kuhusu ushahidi wa Lema, Nassari na Msigwa?

    Bado ana compile
  8. g click

    JamiiForums Tanzania Awamu hii ya uongozi makabwela tunadanganywa mchana kweupe

    Tunaambiwa tuachwe tuisome namba
  9. g click

    JamiiForums Tanzania Mechi ligi Kuu Bara: Mbao FC na Simba SC zatoshana nguvu, Kirumba

    Kila la kheri Simba SC Sent using Jamii Forums mobile app
  10. g click

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Kijana aliyeandika kwenye ukurusa wake wa Facebook kuwa Tundu Lissu angeuawa akamatwa na Polisi

    Ashtakiwe sasa sio mambo ya zuga toto
Back
Top Bottom