Recent content by G. Activist

  1. G

    Ni baadhi ya maneno aliyonambia jana, Mungu ampe maisha marefu "Godbless J. Lema" gerezani

    Huyo unayesema fisadi papa anayepiganiwa na Lema ni nani??? Kama unayemsema ni Lowassa hivi visasi vinavyoendelea sasa hivi huyo unayemwita Papa si angekuwa anaoza Segerea!! Watu mbona mnajitoa akili kiasi hicho!!! Yaani mbashindwa kuzifikirisha akili zenu hata kidogo!! Shame!!!!
  2. G

    Askofu Gwajima: Maridhiano ni Muhimu kuelekea September 1

    Akizungumza wakati akihojiwa na kituo cha Television cha Star TV Askofu Dr Josephat Gwajima amesema, "kuhusu mgogoro wa police na vyama vya siasa busara inahitajika, kwasababu vyama vya siasa vipo kisheria basi Jeshi la police lipate muda wa kuwasikiliza ili kulinda amani ya nchi maana hakuna...
  3. G

    Askofu Josephat Gwajima akamatwa Uwanja wa Ndege wa Dar

    Afadhari usimjibu, maana ukimjibu utadhihirisha uwezo wako ulivyo mdogo
  4. G

    Askofu Josephat Gwajima akamatwa Uwanja wa Ndege wa Dar

    Hao wanaosema amekamatwa ni waongo!!! Yupo kanisani kwake anahubiri hivi sasa
  5. G

    Askofu Josephat Gwajima akamatwa Uwanja wa Ndege wa Dar

    Mbona askofu Gwajima yupo kanisani kwake anahubiri sasa hivi
  6. G

    Waumini wa Mchungaji Gwajima waanza kumchoka. Wengi waonesha mashaka yao juu ya kuumwa kwake

    Hivi alimchokoza Magufuli eeh?? Nasikia hii ni task force ya kuleta habari za uchochezi humu na wale jamaa wa Agenda ya Uharibifu!! Wameshajulikana ha ha ha ha
  7. G

    Rais Magufuli mshughulikie Gwajima ili nisikutilie shaka

    Ni CCM na mmoja wa vijana wa team ya buku 7, sasa buku 2!!
  8. G

    Rais Magufuli mshughulikie Gwajima ili nisikutilie shaka

    We lazima umetumwa!! Umejikakamua maelezo mengi, kisa askofu Gwajima kasema hakuunga mkono CCM!! Rais alichukulie hatua kanisa, kisa hakuungwa mkono, lazima unatumia ile kitu iliyokatazwa na mkuu wa mkoa!! Dada mbona umetoka povu hivyo, hoja yenyewe haina hata mashiko!! Eti unatishia damu...
  9. G

    Sirro: Bado tunamtafuta sana Gwajima, tumetumia polisi wa kimataifa ila bado, wananchi tusaidieni

    Acha Uzwazwa wewe... Mbona MaDC tayari wameshateuliwa?? Au unasubiri ukatibu wa CCM Wilaya ya namantanyeswelyembiga!! Yaani hilo kwako ni Tishio, kuliko Rais wa nchi anavyoita watu wake vilaza
  10. G

    Maaskofu Pentekoste waiomba Serikali kulifuta Kanisa la Askofu Gwajima

    Hivi Ikongo ni mtu wa kumjadili hapa, yeye kama nani mpaka aseme Gwajima afutiwe usajili!! Kikao cha hilo baraza lao kilikaa lini?? Au Ikongo amekurupuka tu kutoka Mwanga!! Mimi nasupport maneno ya Gwajima kwa asilimia zote, wala sioni sababu ya msingi mijamaa ya Lumumba kutokwa povu na kujaza...
  11. G

    Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Na wewe hapo unaamini umeframe swali lako vizuri eeeeh!!! Poor you!! Si ungekaa kimya tu!! Kwanini tusifahamu vigezo vilivyotumika kuteua Mawaziri! Wasiwasi wake ulikuwa nini kutupa hivyo vigezo? Au kateuliwa hilo baraza??
  12. G

    Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Mimi nipo tayari kuingia motoni kama ikiwa ni kwa kumpa kura ya Ndio mh Edward Lowassa!!
  13. G

    Sasa itoshe basi,CCM na Bulembo acheni kutusakama Walutheri

    Nape alishanukuliwa kwamba hilo swala halitajadiliwa tena!! Kimetokea nini tena hawa jamaa wanaendelea na hiyo propaganda?? Sio sawa, Bulembo akemewe, sio sawa kabisa kueneza chuki hii ua dini!! Waluteli na hao wa Gwajima wanamadhehebu ambayo ni marafiki zao!! Wanawakatoriki ma madhehebu mengine...
  14. G

    Sasa itoshe basi,CCM na Bulembo acheni kutusakama Walutheri

    Bulembo mbona humuongelei, au yeye yupo sahihi kuleta chuki ya dini!!
Back
Top Bottom