Hakuna dhambi yoyote na hata baadhi ya viongozi wetu huku hufanya hivyo.Waamini tunachangishwa then Mchungaji anaenda kununua suti na Gari kali la kuenezea injili.
Humu jf ukiwa na tangazo kama hilo usiweke kiasi unachotarajia kulipa maana ndio utakuwa umewapa Watu jambo la kukushambulia kwalo.
Elekeza tu Mtu akutafute kisha mtajadiliana naye namna mtakavyolipana wewe na yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.