Recent content by FYANGUFYOSA

  1. F

    Unadhani huyu mama alifanya maamuzi sahihi?

    "Ndoa na iheshimiwe na watu wote". huenda hawakufunga ndoa (maana hujaeleza kuhusu ndoa ya kwanza kama ilifungwa). lakini kama ndoa ilifungwa na kiapo kilitamkwa kuwa atampenda katika shida na raha, basi huyo mama anamakosa mbele za Mungu na wanadamu pia. lakini haya mambo ya watu kukaa muda...
  2. F

    Nahitaji msaaada hapa jamani

    bado nahitaji scientific reasons please. hadi naleta hapa janvini nishauliza sana jamani.
  3. F

    Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    hii Secretariat ya utumishi kama yangekuwa maamuzi yangu ningeifutilia mbali. hebu angalia, katika kutafuta "green pasture" yaan maslahi, tangu nimemaliza chuo nimeishafanya interview katika makampuni binafsi matatu na yote niliishawahi kupita ktk interview zake yaani oral na written na nikapata...
  4. F

    Nahitaji msaaada hapa jamani

    wana jf habari zenu? natumaini mnafikiri mambo mengi sana juu ya kuwasaidia wa tz wenzetu ili kupunguza ama kuondoa kabisa matatizo yanayowakabili. mimi nategemea kuwa baba hivi karibuni. mke wangu ni mja mzito wa miezi saba na wiki tatu, anasumbuliwa na tatizo la vidole vya mikononi kupata...
  5. F

    Mwanaume wa ukweli ni yupi!!

    mwanaume wa kweli hawezi kuvumilia ikapita wiki nzima au mwezi ikiwa mpenzi wake hana matatizo yoyote. mwanaume wa kweli anatakiwa kumkuna mpenzi wake kila siku "haya mambo hayana usharobaro jamani" unaweza ukapoteza mke hv hv!, akachukuliwa na vijana wanaojua kazi.
  6. F

    Hivi inawezekana?

    hiyo inawezekana, wala usihofu. ila kuchunguza zaidi ni muhimu pale unapoona mabadiliko hasa ktk mapenzi
  7. F

    Vifo vya watoto usingizini: Uchawi au ujinga…?

    hello,wana jf niko na furaha saana kujiunga na hili jamvi la wenye busara na wanaotaka kupunguza na hata kuondoa kabisa wale maadui wetu watatu (ujinga, umasikini na maradhi). Bwana MTAMBUZI umenipa kitu ambayo sijawai ipata darasani wala mtaani, hakika jf ipo juu. ukizingatia I am expected kuwa...
  8. F

    Vifo vya watoto usingizini: Uchawi au ujinga…?

    Bwana MTAMBUZI umenipa kitu ambayo sijawai ipata darasani wala mtaani, hakika jf ipo juu. ukizingatia I am expected kuwa baba, so me and ma wife tutazingatia elimu hii ya bwelele.
Back
Top Bottom