Recent content by Fyakwe

  1. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kunyoa nywele za sehemu za siri

    Huyo atakuwa na kitambi kwann asijinyoe
  2. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Sikuzote ukweli unauma sindano ya kakobe imeuma sana mpaka wanaita waandishi kubalini kukosolewa ndio democracy
  3. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Kibonde Clouds fm: Ni hoja ya kitoto kukataa Lissu asigombee TLS

    Hapo imekaa poa
  4. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    naota kama mwigulu nchemba amewahi kuulizwa juu ya majina yake lkn hakupapasa majibu alinyooka tu
  5. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Mtu akiwa kwa ma ccm ni msafi akihama basi anakuwa mchafu [emoji1] [emoji1]
  6. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    bwana huyu sipati picha kwa hili lililo mbele yake akiamka usingizini wazo lake la nn kwa jinsi alivyolikologa! nakumbuka katiba ya ccm inatoa maelekezo kwa mwanachama kutolewa kafara ili kulinda chama
  7. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Members wa JF juu ya Makonda na vita ya mihadarati

    Wajumbe msiruhusu akili fupi kutawala akili ndefu kwani mbowe kakataa kwenda police? anakataa utaratibu unaotumika na ndio maana ndugai kasema apewe taarifa kwanza spika,mfano kama spika ana kikao na mbowe ijumaa halafu nae makonda anamwitaji hiyo siku wapi aende? kazi ya makonda iko poa lkn...
  8. Fyakwe

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga: Serikali haikutakiwa kutuhumu

    Sinema tamu
Back
Top Bottom