Jana nilipata mshituko ambao mpaka sasa unaendelea kunistua na kuona hatari mbeleni,je wanajf hasa category ya jf doctor,kuna habari ya madaktari wa kujitolea wanaotoka tanzania eti wanaenda kutoa msaada wa utabibu wa ugonjwa ambukizi wa ebola nchi za magharibi mwa africa,nahisi hawa hawarudi...
Unaposema bonyokwa hamna maji,barabara mbovu ndipo umuhukumu mbunge unakosea,mbunge ana kazi ya kukusemea hayo maswala bungeni na ndio mana vipindi vya bunge vinarushwa hewani ili utizame je mbunge wako anatetea mambo ya jimbo lako?kama jibu ok anatetea lakini hamna mafanikio basi hupaswi...
Lakini sijui uwezo wako mheshimiwa labda upo kwenye kundi la watu waliobahatika kuila keki ya taifa,ila na mimi mwanzo nilikuwa na akili ya kitoto kama yako ila now nimekuwa,na pia ukigombana na mkeo unashirikisha watu?!?!
Pili bila shaka wewe ni muslim,mana nyie ndoa hata ukiwaambia watu kuanzia asubuhi kwamba unaoa saa mbili usiku nyie ni poa,ila kristos ndoa zao ni process,then naomba umuulize baba yako,alivyofunga ndoa alichangisha au? Labda ndoa iwe ya mkeka
Nina wazo nataka kuchangia,swala la ndoa ni deni kwa mwenyezi mungu hivyo kila mtu lazima afunge ndoa,ili tuepukane na uzinifu,na swala la mtu asichangishe watu eti kisa raha atapata yeye mimi binafsi naona ni roho ya kimaskini na choyo na pia kujifanya tumeelimika sana bila kujali kuwa ni...
Nimeingia ofisi nyingi za umma,utakuta maafisa wameweka picha za familia zao,either picha ya mke pekee yake or picha ya mke na wato,pia kwa maafisa wa kike vise vesa,mimi binafsi najiuliza sana ni upendo wa familia au misifa tu
Mkuu kuna nyumba ipo magomeni mapipa mtaa wa magomeni,unatazama town ile bila shaka location iz good ipo karibu na kituo cha jangwani,upepo wa bahari wote unaupata ni mil 85
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.