Hili si tatizo la kkt tu, ni madhehebu yote ya kikristu pamoja Sda pia, wakati wa ujenzi mnatangaziwa kuchangia, unajitutumua kuchangia. Lakini inapofikia mtoto wako kusoma kwenye hizo shule zao sarakasi ziaanza, kwanza interview na kama mtoto hajapata wastani walio weka hata kama una hela na...
Kwa dunia ya leo kurekodiwa siyo lazima mtu awe amekubali, kumbuka wanaume mara nyingi ndo tunawahi kufika eneo la tukio kabla ya wanawake au mwanamke. Hivo akiwa na lengo la kukomoa au kama ambavyo picha hizo zimegeuka biashara anaweza kutega simu au camera kwa siri na kuanza urekodi kabla ya...
Huyu bwege natamani ningekuwa moderator nimpige ban, 42yrs wana wajukuu alafu yeye anajiita mtoto si bure huyu atakuwa ni yale na kabila maarufu kwa kukwea Minazi ndo wana utamaduni wa kusubiri saana urithi.
Jibu langu siyo rasmi ila kukaa kwangu unguja kwa zaidi ya miaka 10++++ naweza kusema sababu kubwa ni kwamba huku hamna ndoa za kuvumiliana unaweza kuoa leo ukaacha kesho.
Ndoa zetu nyingi bara tuna kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe na hapo ndo tatizo linapoanzia.
Mwanamke anaweza kuamua...
Hii ni fasihi na fasihi haijawahi kuwa na jibu moja, hivi kwenye kuchongeana unaweza tumia msemo kila mbuzi ale urefu wa kamba yake na mbona mnakula sana mpka mnavembewa?
Mhari ni hali kuoneana haya pindi mtu wako wa karibu anapofanya jambo ambalo linastahili adhabu au kukanywa. Mhari, mbuzi...
Nanusa kaarufu fulani hivi, kwamba wewe umesikia lakini umesema watu mahenge neema imewasbukia, kwanza tuanze pale ulipompa hela alafu ikawaje hakukuwa na mawasiliano tena, hujaona hayo maendeleo tayari unaiita neema kwa wamahenge, je mtu mmoja kumiliki shimo la kuchimba madini ndo neema?
Port unafikiri yeye haogopi wasiojulikana, huyu tayari ameshawekwa kundi la wasioaminika, lazima wasiojulikana wako nyuma yake, akisanua atasannuliwa na hatofanikiwa usishangae na ile kinga ya kutoshitakiwa ikaondolewa na akaelekea Segerea. Nafuu yake ni kukaa kimya kabisa
Hela siyo kila kitu mkuu kwa mtu kama Job kitovaa lile joho hata umpe milioni ngapi hatokuwa sawa. Huyu atakufa very soon alijiweka kwenye level ya Miungu wa chache wa dunia hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.