Ukifika tegeta msikini unaomba uchaguzi uwe mda huohuo ufanye uamuzi sahihi kwa mdee tulikurupuka ni matatizo maji machafu madimbwi hata gari kubwa hazipiti
Na diploma ya marketing hali ni mbaya jamani kazi yoyote nafanya ilimradi nisivunje sheria ya nchi Mwenyekibarua yeyote ani pm hata temporary nakoelekea nahisi kuwa omba omba barabarani
Na diploma ya marketing hali ni mbaya jamani kazi yoyote nafanya ilimradi nisivunje sheria ya nchi Mwenyekibarua yeyote ani pm hata temporary nakoelekea nahisi kuwa omba omba barabarani
Mjujulu mama mbea yule hata sitaki kwa kwwli alipewa hela na baba aniletee kwanini asile halafu kanichunia mpaka baba alivokuja ndo najua nilimkomaliaje ingawa baba alinambia niachane nae
Nilianza mdete nikaenda manyunyu nikarudi mtwango kwa baba mbunda jaman njombe kuzuri wikiendi makambako hadi mbeya kujirusha au mafinga shimoni ujana maji ya moto na turbo pia
Mama widambe nasikia kafulia mpaka gorofa alilojenga la kuishi kapangisha nimesoma manyunyu lupembe niliipenda inakila aina ya chakula.kwa mie mama misosi nilienjoy pale
Yani wanaboa sana kuna siku dada anaumwa nimempa hela ya matibabu wifi nilivotoka kapunguza halafu kiwifi chenyewe ni kitoto tu cha 1992 nilikasirika sana anamwambia mtu kama yule hawezi kutibiwa hela kama ile
Ukifatilia wanaowanyanyasa wa dada wa kazi ni wale walioishi maisha magumu mdada kaja kumjua ukubwani ndo inakua shida mfano mzuri mi ni wifi yangu ametoka zake kyela huko naishi nae na kakake si kaja kaanza kuninyanyasia mdada mpk mdada kaondoka na kaenda kuwambia kwao wifi yake ni mkali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.