Recent content by Furaha Mwazembe

  1. Furaha Mwazembe

    JamiiForums Tanzania Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Niwewe uliwapa nauli?
  2. Furaha Mwazembe

    JamiiForums Tanzania Wazo: Tuwe na watalaam kwenye Forums

    Uko sahihi kabisa, umetoa wazo bora sana.. Hata sisi wanachama wenyewe tutakuwa na nafasi kubwa ya kupata elimu mahususi kutoka kwa hao wataalamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Furaha Mwazembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Sio kweli, Kanisa katoliki lina sheria zake na miongozo...MANENO YAKO YAWE YAKO SIO YA KANISA KATOLIKI. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Furaha Mwazembe

    JamiiForums Tanzania Haruna Niyonzima Simba SC

    Ligi bado....Mziki wake unajulikana kuna timu zitatafutana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Furaha Mwazembe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mradi wa maji Sengerema, apigilia msumari wanafunzi wajawazito kurudi shule

    Hivi RAIS ni lazima azungumzie kauli za viongozi wa Upinzani katika kila hotuba anayoitoa? Anawasaidia kuwakuza kisisa au anawadhoofisha?...
  6. Furaha Mwazembe

    JamiiForums Tanzania Zinazomtesa Manji ni tuhuma za kutumia madawa tu?!

    Tunadhalilisha wawekezaji kiasi hiki, waseme ukweli ili kila mmoja ajue makosa ya YUSUPH MANJI ...
Back
Top Bottom