Recent content by FUPII

  1. F

    Ushauri: CHADEMA iige utaratibu wa CCM nafasi moja mtu moja ili kutoa fursa kwa wanachama wengine

    CCM kwan wana viongozi wa kanda kwani? Hakuna cha kuiga kutoka CCM apo, au ngome imezidi kuwa ngumu nini?
  2. F

    Tuna haki ya kususia bidhaa kutoka Canada!

    Mpaka nafikia umri wa miaka 40+ sijawai kuona bidhaa za Canada katika maisha yangu ya kila siku. Unaweza ukatuambia labda ni bidhaa gani?
  3. F

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Kikwete alikuwa wapi wakati nyumba za serekali zimauzwa kama njugu, Kikwete alikuwa wapi wakati kinanunuliwa kivuko cha mv Dar, kibovu kuliko vyote dunian.
  4. F

    Kwa hii kashfa ya Mbowe kugeuza CHADEMA kuwa kichaka cha Mafisadi, anapaswa kujiuzulu

    Ivi Mafisadi na Majizi yanatoka chama gan? Hilo ndio swali la msingi, je tuangaike na waliotoka au tupambane na wanapozaliswa?
  5. F

    Ndani ya CHADEMA: CCM anaingia, CCM anatoka

    Chadema kinaenda shimoniii??!! Labda haupo apa nchini, kivipi sasa?? Kwa kunyimwa kufanya mikutano iliyo ainishwa kwenye katika? Viongozi wake kupewa kesi za uchochezi pindi wakikosoa serikali ya chama unachohihi akitokufa?? Fuatilia kwa undani ndipo utajua CCM ndicho kinachokufa, ss iv n kwa...
  6. F

    Mnyika asema bomoabomoa iliyofanyika barabara ya Morogoro ni haramu

    Kwani wewe ni wa jimbo gan?
  7. F

    Kwa usajili unaofanywa na CHADEMA, isahau kuchukua nchi

    Mbona hao wanaohamia Chadema wemetoka chama kinachoshika dola!!? Maana yake majizi na Mafisadi ndio walioshika dola, wakiamiawote na Chadema itashika dola.
  8. F

    Makinikia: Wanaume wameshamaliza kazi. Kinachojadiliwa sasa ni kuona wanatuachaje

    Hiyo Noah ni yako, kwani kila mtu atakuwa na yakwake. Yaani haifai hata kuuza.
  9. F

    Sakata la Ukwepaji Kodi: Barrick kuanza Mazungumzo na Tanzania wiki ijayo

    Toka lini mwizi akasubiriwa kwa ajili ya mazungumzo.
  10. F

    Rais Magufuli yuko sawa kugoma kusomesha wazazi

    Kwanza umesha waita watoto, siku zote maamuzi ya watoto yanakuwa si mazuri bila usimamizi. Watoto wanarubuniwa, wanabakwa, na wanakutana na vishawishi ambavyo hata watu wazima saa nyingine vinawashinda. Swali kwani watoto waliojifungua ukiwapa elimu unapata hasara gani?
  11. F

    Magufuli versus Tundu Lissu; yupi unamwamini kwenye sakata la makinikia?

    Mimi nitamwamini Tundu Lissu, kwa sababu sheria zinasema mali inayo chibwa ni mali ya mwekezaji, na serekali inachukua %4 ya mapato. Hata kama ni ww upate %96 utatamani tena hata iyo 4? Mikataba mibovu ndiyo inayo tuibia pamoja na watu tulio wapa dhamana ya kisimamia..
  12. F

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Ukweli mm cjapenda Mbowe alivyo mjibu Makonda, kwan mm naona kama mchezo mchafu unaochezwa na Makonda unatakiwa utumie akili sana. Makonda hajamtaja mtu mmoja mmoja na tuhuma zake, alichofanya Makonda kataja wote kwa pamoja bila kusema ww fulani una UNZA , UNATUMIA, au KULISAIDIA JESHI KUPATA...
  13. F

    IGP Mangu awasimamisha kazi askari polisi 12 wanaodaiwa kujihusisha na mihadarati

    Hapo namba 11. Gloria MALLYA MASSAWE, mboya majina hayo Mallya na Massawe ni ya ukoo!! Labda yawezekana ila ni ukoo mbili tofauti.
  14. F

    Addis Ababa Ethiopia: Hongera Rais Magufuli kwa kukitangaza Kiswahili AU

    Au Mh. Magu yeye angeongea lugha ya malikia alafu mkalimani akatafsiri kwa kiswahili, hahahaha..
  15. F

    TRA yakusanya Trilioni 7.27 kwa kipindi cha miezi 6

    Mr. Magu alivyo ingia madarakani alianza na mikwara sana, ukweli kila mtu alijaa hofu, si wafanya biashara si watumishi. Kwa hiyo watu wamelipa malimbikizo yao kwa kuogopa, ila sikilizia mwaka huu kama TRA watatangaza tena.
Back
Top Bottom