Recent content by funza2004

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae watoto watatu

    Habari wadau, mimi ni mwanaume wa miaka 43 na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu bila kuoana na kumtunza yeye na wanangu hao ikiwemo kumjengea nyumba. sifa:~ 1.awe mha 2.mwalimu wa shule ya msingi 3.awe mwenyeji wa kasulu 4.awe tayari kupima HIV 5.awe hana mahusiano ya kimapenzi na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wadau, naomba kujulishwa wapi ntapata redio ya freelander inayotumia dvd,tafadhali!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Serikali: Sheria ya Makosa ya Mtandao imesainiwa, kuanza kutumika karibuni

    Hii ingeweza kupelekea kutungwa pia sheria ya ugaidi!!!!?!!!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Taadhari : Epuka kampuni hii ya kitapeli!

    Nilijaribu kufuatilia hili ili kuwajuza Watz akaja mtu mmoja na kumshauri admin aniban na kweli admin akafanya hivyo sijui admin anahusika?basi awaban na hawapia wanaolizungumzia hapa!!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari aina ya RAV4

    bito naitaka niwekee picha
  6. F

    JamiiForums Tanzania Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Dawa ndogo tu kila abiria anapokata tiketi au anapokuwa ndani ya treni ajazishwe fomu maalum ya utambulisho k.m makazi,na.za simu,n.k ili ikitokea uharibifu kwenye chumba au eneo lake basi atafutwe na kuadhibiwa sivyo kila siku tutarajie uharibifu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kenya, Media imetumika kufichua uchafu wa Polisi, kwetu Media ni uchochezi vinafungiwa

    huku wanaweza habari za mapenzi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ok,niko iringa ntapanda dar
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari mshana jr,bado sijapata fundi wa kunibadrishia freelander kwenda rav4,wale vijana ulionielekeza wa toyota hawawezi mzee
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    habari wadau,nahitaji fundi anayeweza kubadilisha mfumo wa freelander 2 manual 4wd nakuniwekea wa rav4 3s manual 4wd
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nahitaji engine ya rav4 3s manual transmision,gearbox yake,control box yake pamoja na waya zake. Pia nahitaji fundi anayeweza kuifungakwenye freelander
Back
Top Bottom