Ni pesa nyingi lakini kwangu haina maslai. mwisho 1.4 , hata hivyo kuna jamaa wanaifuata asubuhi hii. kama upo serious wahi pikipiki ipo vizuri hai hitaji matangenezo yeyote.
Kiwanja kinaukubwa wa 18*20 gari inafika hadi ktk kiwanja . Bei nafuu sana.
Umeme na kisima cha maji vipo karibu sana.
Bei tzs 3,950,000.00
Call 0658 554 992
Chumvi kwa kweli inamiujiza mingi sana , hasa chumvi ya mawe. Mfano kwangu mimi nilikuwa na eneo langu nauza kwa muda mrefu madalali walichemsha , nikaamua kununua chumvi ya mawe na kuimwaga katika pembe 4 za eneo na katikati ( eneo lenyewe lipo uswahilini) next day akatokea mnunuzi na kulinunua .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.