I
Wapumbavu huwa hawapendi kujielimisha, wakikipata kile kinachowapendeza masikio yao hutoa hukumu ya kinafiki. Utatoaje hukumu kwa kitu usichokijua? Jipime ww mara ngapi umepokea hukumu za aina hiyo. Je ulijisikiaje hasa unapokuwa huwezi kueleza ukweli kwa wanaokuzushia uongo? Acheni hizo.
Wachangiaji wengi wanaodai eti ohh rais hajajibu viziri, wote ni mamburura. Diplomat was flamed. Negotiated out of court and paid his bill, what is the problem. Unadhani serikali ya marekani haijui? Sheria na haki si lazima viendane. Mmeng'ang'ania kwa agenda zenu za siri.sasa Hamna agenda.
Hujui unachosema, China ukileta kujua sana unacheza na kitanzi au risasi. Marekani isikie kwa mbali tu ukiteleza kidogo tu na polisi umelambwa shaba. collateral damage.
Hu
Ndo maana masema analysis za kitaalam na za wapenzi wa vyama vya siasa ni tofauti. Suala la mwangosi ni exeptional case na kwa mtu timamu huwezi kulifanyia reference. Nafurahi umejikosoa mwenyewe, hata cia Huwa hawaaniki Uchunguzi wote hata kesi ikiisha, na kama unafikiri hivyo hufaham...
Acha uongo, vídeo zilifungwa majengo jirani Kwani tukio Hilo lilipangwa mapema. Waliokuwa kwenye gari waliwapiga raia risasi bila huruma na walipofika polisi original wananchi walikuwa wameshapandwa na hasira. Yote yaliyofichika yataanikwa mchana kweupe, na ndipo utapojua kuwa tanzania kuna...
CHADEMA ni hatari, aibu yenu msiizibe kwa damu za watu. Hakika damu iliyomwagika itawatafuna milele. Kumbe na Olasiti mlikuwa nyinyi. Ngoja ushahidi ukamilike. Tutaita FBI, Scotland Yard watoe Ushadi wa kipelelezi. Mnamfuata mhalifu Lema!!!! amewapoteza.
Hakili ndogo inapojitutumua huonekana ndogo zaidi. Hivi uongo unafaida gani. Utakutesa milele, labda uwe umekufa spiritually. Kama una hoja uwe jasiri kuijenga na kuitetea. Usitunge story kuhalalisha hoja yako.
Godbless alijitumia sms hiyo mwenyewe, kama huamini muulize lema kwanini mulungo atume sms kwa neema lema badala ya godbless lema? Mbinu za kitoto na zinafahamika.
Nimemsikia waziri muhongo akisema kuwa serikali itajenga mtambo wa 400mw kufua umeme gridi itajengwa kuungalisha mikoa ya kusini kupitia songea. Viwanda vyote vya by product za gas vitajengwa mtwara, mtambo wa kusafisha gesi unajengwa mtwara, kiwanda chat cement chat dangote ni mtwara. Bandari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.