Haya Mabasi Yanamililiwa Na Wachina 100% Juz Nilienda Kumpokea Rafki Yang Hapa Stand Ya Kahama Nikafika Ofcn Kwao Nikawakuta Wachina Wawil Ke Na Me Wanakatisha Tiket
Jaman Naomba Msaada Hawa Popo Wamenishnd Kuna Popo Wamehamia Kwenye Dari La Nyumba Ninayoishi Wamezaliana Sasa Ni Kero Idadi Yao Inaweza Kuwa 600 Hadi 800, Co Utan Ni Wengi Ikifka Saa Moja Ndo Wanatoka Kutafuta Chakula Bac 2nakaa Kuwashangaa,nisaidien Namna Ya Kuwaondoa Hata Kama Kuna Dawa...
Ni Kicheko Wiki Zilizopita Ilionekana Bodaboda Inapeleka Unga Pale Chuo Cha Ualimu Morogoro,,
Ninachocheka Ni Kwa Bodaboda Kubeba Unga Wa Wanachuo Zaid Ya Elfu Moja, Ulienda Kukopwa Mashne Mjn,
Habar Wana Jamvi,
Baada Ya Serikali Kushindwa Kuwapeleka Wanachuo Walimu BTP Kama Ilivyokawaida Nmepata Habari Kuwa Imeamua Kuwarudisha Nyumbani Hadi Tarehe Za Kukaribia Kufanya Mitihan Mwez Wa Tano Kwa Kukosa Chakula Na Fedha Za Btp,
Tayar Chuo Cha Marangu Korogwe Na Bustan Second Year...
Wekend Vp Wana Jamvi,
Huyu Bwana Jay Milionea Kapotelea Wapi Tangia Atokelezee Kule Mtwara Kwa Mhudumu Wa Guest,mbona Hasikiki Amekuwa Tapeli Tu Kila Siku,hzo Milioni 100,10,1 Za Kila Cku Ziko,wap? Bora Airtel Tunasikia Watu Wakipewa Zawadi,
Ni Kwamba Hamna Sheria Yeyote Iliyotungwa Ila Wanatahadharisha Watu Wapishe Ili Wasisababshe Ajal Kutokana Na Mwendo Kasi Wa Magar Yao,na Mwendo Wa Kasi Ni Lazma Kutokana Na Sababu Za Kiusalama
Mm Nilichojiuliza Ndo Nikaleta Huu Uz Ni Kwann Atumie Wanajesh,na Sio Madaktar hv Wanaosema Wanaenda Kujenga Hosptal Kwan Ebola Imebomoa Hosptal Na Zahanat?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.