Habari wana jamvi!
Nisiwachoshe kama ambavyo hampendi kuchoshwa.
Mwaka jana mwezi wa nane nikifanikiwa kutimiza haja ya moyo wangu baada ya kufanya savings ya miaka 25 kukusanya pesa ya mtaji.
Nilifanikiwa kukusanya pesa kidogo na kuagizia mzigo container moja wangu, mzigo ulifanikiwa vyema...
Juzi nimekuta polisi inagombezwa kama mtoto kisa kontena la mh. Limechelewa kutolewa bandarini.
Aise akaingia geti namba 4. Bila kizuizi...
Akati kuna akina sisi tunajichanga miaka 25 kupata pesa ya mtaji. Tukiagiza mzigo unakuja fresh ila pale bandarini mzigo unaweza kukaa mpaka ukaukatia...
Juzi niliskia mtu kafu sema ni alipoteza fahamu tu,,alivyo zinduka akasema alikua kwenye mwanga mweupe kila maali incase kwamba hata kivuli akipati nafasi kwa jinsi mwanga ulivyo mkali..
Mwanga mweupe ni kitu cha kwanza mtu ku experience akipoteza fahamu au akifa.
And baada ya hapo mabayo...
Upo sahihi sana yani now mambo ni yanaenda kinafki sana amna mlala njaa ataamka aone chombo kinamuoji aache kusema MAMA.
That's is hypocrite na naisi wanajua, utaskia;
Asante mama umewezesha kodi kupanda. Awajua population imekua kubwa na sikuhizi mpaka baiskeli za umeme zinakatwa kodi..
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.