Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe...
Habarini wakuu, samahani naombeni kufahamishwa nina rafiki yangu ana Diploma ya ualimu hivyo basi anataka kusoma degree ya sociology, swali anaweza kuapply chuo kwa kutumia cheti chake cha diploma? 4m six hakufanyaga fresh sana, nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.