Binafsi sijaona sababu ya kuondosha kile kitambusho cha mjasiliamali, kama kilikuwa na changamoto zinge rekebishwa tu na sio kukifuta ona sasa mlolongo umekuwa mkuuubwa kiasi cha kutengeneza fursa za rushwa na hao baadhi ya waliopo huko mamlakani kuji wekea mifumo ya kutupiga fedha eti "mimi na...
Habari zenu wana jamvi,
Kuna mtu wangu wa karibu amepotelewa na passport yake je utaratibu upi afuate ili kupata nyingine
Msaada jamani kwa anae fahamu na gharama zake kama zipo. Natanguliza shukrani
Habari Wana JF,
Kunajambo niliiona pale kituo kikuu Cha mabasi Cha magufuli mbezi kwanza nilikipenda kisha kikanishangaza ila kimenishawishi kukifanyia kazi.
Kuna siku nilikuwa safarini kuelekea mkoani nikiwa na kisimu changu mwenyewe maisha yanaenda nilipofika Mbezi nilikuwa nimechelewa sana...
HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku.
Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam.
Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa...
Shida tulio jenga reli mmetutupa pembeni wamewekwa walio soma kwa madigrii wakati sisi la saba, nne, tatu na lapili mmetuacha pembeni wakati sisi ndiyo tuna jua kwa kina chamgamoto za huu mradi
Tatizo TRC nao wame tofautisha muda ukichagua ya saa 6:00 asubuh bac ni Express ordinary ni kuanzia saa 9 asubuhi nibora wange pishanisha kwa muda mchache mfano kutoka ya saa 6: yakwenda dodoma iwekwe ya saa 7: ili kupata hata abiria wanjiani kwenda moro
HABARI WAKUU,
Hii imekaaje wadau,
nilisafiri na kijana wangu kipindi shule zimefunguliwa kutoka dar kwenda moro nililipa sh, 13,000 na kijana wangu ikawa ni 6,500 sasa hivi nikitaka kukata Tiket mtandaon naambiwa gharama ya mimi tu ni 20,000 asa hapa wananivuruga eti shida ipo wapi kwaanaejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.