Uwezi kujua hamasi wanapigania Kama umevaa ushabiki bila kuelewa lazima kwanza ujue chanzo Cha mgogoro ili sio Jambo la dini ni Jambo la haki,hata umoja wa afrika na umoja wa mataifa unatambua uonevu wa mda mrefu zidi ya wapalestina,hawana tena njia yeyote nyepesi ya kujikomboa kutoka kwa...
Ukweli huwa aukaliliwi huwa unaeleweka,ilikujua Kama anakosea au anasema kweli sharti usome na uelewe,ahamanishi kutomtambua yesu na kazi yake aliyo kuja kuifanya duniani Ila uelewa wake juu ya yesu ni Nani ni tofauti na watu wengi, Sasa yafaa kumkabili kwa hoja zenye uthibitisho kuwa yesu ni mungu.
Nchi yetu Tanzania na bara lote la Afrika linapaswa kuanza na mambo yafuatayo ili kuleta mapinduzi ya viwanda. Kwanza, ni muhimu kuunda sera zitakazo ongeza uwezo wa watu wabunifu kujiamini katika kazi zao. Pili, ni kubadili fikra za jamii juu ya uwezo wa wazalendo wenye vipaji mbalimbali vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.