Hello guys hopefully your fine,,, Naombeni mnisaidie nasumbuliwa na Tatizo la kifuaa kuuma hasa kati kati ( Sternum) maumivu nayapata wakati nikifanya any Chest movement au wakati wa kujigeuza pindi nimelala na wakati wa kuamka baada ya kulala mda mrefu ,, nimetembea hospital nyingi naku fanyiwa...
Nina miaka 23 kwa sasa, form four nili pasua vizuri mnoo kila combination ya science ilikuwa inakubali but nika chagua kwenda kusoma Diploma ya Clinical medicine na penyewe nika washa moto nina GPA inayo niruhusu kwenda MD kama niki takaa .. Kwa sasa nipo nakula madili ya private hospitals. Wale...
Naomba kuuliza nimemaliza diploma ya Clinical medicine NTA level 6 nakupata GPA ya 2.6 semister one afu 4.5 semister two, kwenda MD wana angalia GPA ya semister gan au toka first year ???
Habarii zenuu .. Naombeni ushauri wenu jamani , nime pata Repeat module ya CA clinical assistance , nataka kwenda Advance nikapige HKL niachane tu na Afya kabisa umri wangu ni miaka 20 .
Nimefatilia nikakuta kujiunga na MD ni diploma ya co with 3.5 GPA or B+ with two credit of o - level for chemistry and biology ,,, sasa mimi chemistry ina miss
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.