HIVI UNAJUA KIREFU CHA CHADEMA?
Na Fumbwe Rashidi N.
Kwa kawaida watu wengi ukiwauliza kirefu cha CHADEma watakwambia ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Nilikuwa najiuliza sana ni demokrasia ya aina gani ambayo chadema wanaihubiri ? Ni maendeleo ya aina gani ambayo hawa chadema wanayabiri...
Mtatiro usitafute huruma huku kwenye mitandao coz we are not in the same journey,,,,,,, ni bora lipumba Mara elfu kumi kuliko ww,wafuate haohao wasio na uwezo wa kupembua mambo.
Katika utendaji kazi sehemu yoyote ile hapokosi unafiki, ghiliba, usaliti na uchonganishi wa aina yoyote ile. Na haya yote yanatokea pindi pale mtu anafanya kazi ktk misingi mema, mazingira mazuri ambayo yanatetea kundi la watu fulani ambao kwa namna moja ama nyengine. Watu ambao watakuwa...
Katika kamusi ya Kiswahili yaani watu wa pwani neno "MAALIM" maana yake ni mtu mwenye taaluma/mkufuzi/maarifa n.k. Lakini kwa lugha ya wenzetu maalim maana take "is a someone who has fully knowledge in a certain field" .Sijui kama maalim ya seif hamadi ina maana hiyo au inamaana gani . Kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.