Hivi unajua kirefu na maana ya CHADEMA

Hivi unajua kirefu na maana ya CHADEMA

Joined
Sep 26, 2016
Posts
8
Reaction score
3
HIVI UNAJUA KIREFU CHA CHADEMA?

Na Fumbwe Rashidi N.
Kwa kawaida watu wengi ukiwauliza kirefu cha CHADEma watakwambia ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Nilikuwa najiuliza sana ni demokrasia ya aina gani ambayo chadema wanaihubiri ? Ni maendeleo ya aina gani ambayo hawa chadema wanayabiri? Kwa muda mrefu sijafanikiwa kuyapatia majibu ya maswali hayo ,ila pia nikaendelea kujiuliza wataka demokrasia ya aina gani? Watatuletea maendeleo yapi ktk nchi yetu? Baada ya kukosa majibu ya maswali hayo juu ya maana halisi ya Chadema inayoongozwa mfanyabiashara mjanja na mmiliki we club billicanas bwana yule mbowe ktk pitapita zng na chimbachimba zng niiakutana na maana halisi au kirefu cha chadema.

CHADEMA inamaanisha "Chaggas development manifesto" yani kwa kisukuma maana yake ni chama cha maendeleo cha wachaga/ni chama chenye mlengo wa kupigania maendeleo ya wachaga na watu wa kaskazini in minority sense. Kujua Haya yote inakubidi kwa namna moja au nyengine kuwa mwerevu . Tukirudi nyuma kidogo kipindi cha hayati baba wa taifa alishawahi kusema katika hotuba zake kuhusu wachaga ktk medani za uongozi wa taifa hili,hapa simaanishi kuwa wachaga wote ni chadema. Wakati wa uhai wake toka kipindi cha kupigania Uhuru mpaka akiwa ktk nyadhifa za uongozi wa nchi hayati baba wa taifa alipinga vikali masuala ya udini,ukabila na ukanda.

Lakini ni dhahiri hiki chama kinamrengo wa ukanda na ukabila suala la udini sitaki kulizungumzia leo. Chadema imejikita sana ktk ukanda wa kaskazini haswa mikoa ya Kilimanjaro na arusha ambako huko ndio ngome kongwe na eneo la uasisi wa hiko chama. Huwezi kusema tanga ambayo iko kaskazini ni moja ya ngome za chadema sababu kuwa haina wachaga. K/manjaro na arusha ni mikoa ambayo ndo asili ya wachaga.

Pili hiki chama ni cha kikabila kwa sababu kuwa asilimia 98 ya safu ya uongozi wa chadema wa kitaifa ni wachaga. M/kiti mbowe ni mchagga,naibu Katibu mkuu bara John mnyika ni mchagga,m/kiti wa bawacha Halima mdee ni mchagga,ukirudi ktk baraza la wazee na wadhamini wa chama akina Mzee ndesamburo mchagga na wenzako Bavicha viongozi wa juu ni kutoka kaskazini. Kwa hali hii bado unafikra kuwa hiki ni chama cha demokrasia na maendeleo? Kama ni hivyo utakuwa na mind problems.

Hivi demokrasia ni kuwa piga vita watu kutoka maeneo na k/manjaro na arusha ? Mikoa mengine hakuna viongozi ? Kabla ya Dr slaa kujiuzulu ambae nae alikuwa anatokea karatu huko huko kwenye ngome yao ndo wakawazuga watanzania kumpa Dkt mashinji kuwa Katibu mkuu kivuli. Najua umenielewa ninaposema Katibu kivuli ,hivi nani asiyewafahamu kina Zubeir zitto kabwe na marehemu Chacha wangwe ktk siasa za Tanzania na upinzani kwa ujumla? Hawa ni watu ambao walijitolea kufa au kupona kutetea maslahi ya chadema nje na ndani ya chama lkn jee Leo hii wako wapi ? Ni swami ambalo halihitaji hata msuli wa " DS" kulifahamu hili suala ,walifanyiwa figisufigisu ndani ya chadema kwa sababu sio wachagga.

Kama hio haitoshi mbatia Leo hii a.k.a ahsante kikwete amekuwa mshirika mkubwa wa chadema umeshawahi kujiuliza kwanini? Hadi hili pia linahitaji darasa uweze kuelewa? Daa hembu tujaribu kuwa werevu hawa Jamaa wanatuzuga jamani. Mbowe anatokea Hai na mbatia anatokea vunjo kote huko ni asili ya wachagga kama ukikuta mzaramo na msukuma sijui nikuahidi nini. Ila jaribu kutafuta umbali kutoka hai na vunjo halafu husisha na akili zako usinipe jibu.

Unamkumba Mzee mmoja anaitwa Frederick sumaye? Wakati anatia nia ya kugombea urais mwaka Jana unakumbuka maneno aliyoyasema? Kama umesahau Jamaa huyu alisema kama CCM ikimpitisha Babu Lowassa kupeperusha Bendera ya CCM kwenye urais angehama chama,jee lowassa alipitishwa ? Mbona sumaye kahama chama ? Nadhani sasa umeanza kupata mwanga juu ya hiki chama na maana yao halisi .

My take ,,nadhani umefika wakati muhimu wa ww wa kuelewa juu ya mitazamo ya hiki chama ambacho hakina malengo ya kuwasaidia watanzania Bali kusaidia ukabila wao . Ndg zng watanzania ambao mko huko mnachezeshwa ngome msioijua.Ahsante.
 
usisahau na CCM yaani chama cha majambazi
 
Uliyonena ni ukweli mtupu, ama kwa hakika sijawahi kuwaunga mkono hawa watu, na wala siwashauri watu kuwaunga mkono ila muda si mrefu Wa Tz watajua lengo haswa la hawa watu, kwani hawana nia njema na Taifa hata kidogo, wametawaliwa na ukabila, ukanda, ubinafsi pamoja na uchu wa madaraka uliokithiri. Mungu atatulinda dhidi ya madhalimu hao
 
Kabla ya uhuru TANU iliungwa mkono na waislam wengi.
Je ,TANU kilikua chama cha waislam?
Baada ya uhuru CCM ikaungwa mkono na Wakristo wengi.
Je,CCM ni chama cha wakristo?
Uungwaji mkono wa chama au Club yoyote unatokana na waasisi wake walivyoweza kuwashawishi watu wao wa karibu ili wapate uungwaji mkono!
Haiwezekani UDP kianzishwe na Memose Cheyo kule Bariadi halafu kiwe na nguvu Kilwa kivinje zaidi ya Bariadi. Kila chama kina nguvu kwenye baadhi ya maeneo.
Hata CCM hakina nguvu nchi nzima.
Nguvu kubwa ya chama tawala ni katiba na tume ya uchaguzi lakini sio watu.
Nani asiyefahamu kuwa kanda ya ziwa iliyokuwa na wanachama wengi wa CHADEMA ?
Hivi unategemea nini kama CCM ingemsimamisha mgombea nje ya ukanda huo!?
Suala sio ukabila wala udini ,suala ni namna wanasiasa wanavyoweza kujipanga kimikakati.
Mfano ni uchaguzi wa mwaka jana Chama tawala kilichezwa na machale na kupata mgombea ukanda wenye kabila kubwa na watu wengi kwa lengo la kuwa watu wa nyumbani kwake hawaezi kumtupa na hii ni asili ya binadamu wote tusiwalaumu wachaga na kuwajengea chuki kwa watanzania wenzao.
Chama tawala hakikufanya vile kwa lengo la ukabila bali lengo lilikua ni mikakati ya ushindi.
Au unafikiri ingekuwaje kama chama tawala kingemsimamisha Wasira ambaye ni msabato, dini yenye watu wachache. Suala linabaki pale pale vyama vinacheza na hoja ya ushindi tu.
Sasa nakushangaa kuwa pamoja na chadema kushindwa lakini bado unaleta propaganda za ukabila.

Hivi hao wachaga wanachama wa chama hicho wananufaika na nini huko chadema zaidi ya wale wanachama walioko CCM ambao kila kukicha wanapata madaraka yenye maslahi manono na upendeleo wa kila namna kutokana na kushika dola ?

Hivi Mbea nao ni wachaga?
Kwenye utawala unapokua na adui wengi ni lazima uweke watu wa karibu kwenye madaraka ili kulinda uhai wa utawala wako. Hili halikwepeki. Hii lipo kwenye vyama vyote. Na ukipuuza hilo unajimaliza mwenyewe. Angalia kwa jicho la tatu hicho unachokiita kujaza viongozi wa ukanda mmoja madarakani ndani ya chadema uangalie na vyama vingine vikubwa vyenye nguvu utapata jibu. Suala hapa sio ukabila bali usalama wa chama au serikali anayoongoza mtu.

Ungekua na hekima angalau kidogo ungewaonea hata huruma hao watu unaosema kuwa wamejaa kwenye chama hicho kwani wamejitoa mhanga kukosa nafasi nyingi kuanzia zile za mabalozi,wakuu wa mikoa ,wakuu wa wilaya,wakurugenzi, makatibu tawala,uwaziri,unaibu waziri, ukatibu na mamia ya nafasi za uteuzi ambazo mtu alieko nje ya chama tawala hawezi kuzipata Na vikwazo vingi wanavyopata wapinzani wanavipata. Hii sio faida bali ni hasara kwa maslahi binafsi.
Nakushangaa pia kuwa ni nini hasa unachopoteza kwa wachaga kujiunga na hicho chama?
Kama ni madaraka mbona yanatolewa na chama tawala.
Huko upinzani kuna nini?
Hivi unafikiri kujiunga na upinzani usio na vyombo vya dola ni jambo rahisi?
Watu wanapoteza mpaka maisha yao na kuishi maisha ya hofu na tabu wanapokuwa wapinzani na sio sehemu ya kuitolea macho kama kweli mtu ana nia ya kupigania wananchi!

Uchaguzi umeisha na Chadema ineshindwa vibaya sasa kuna sababu gani ya kupandikiza mbegu ya ukabila kwa watanzania?

Hittler alianza kuwaunganisha wajerumani kwa kuwabagua wayahudi na hata alipoamua kuwaua ilionekana ni jambo la kawaida kwa wajerumani na hawakukemea ubaguzi na mauaji yale kwani walikaririshwa kuwa malengo ya wayahudi hatakuwa mazuri kwa wajerumani.
 
Kirefu chake ni magamba ni wezi wa kura na sasa hivi wako katika Mkakati huu kuiba kura pamoja kuwa na mtakatifu kama Mwenyekiti, wanaweka Makada kwa ajiri ya kuiba na kuchakachua.
 
Project Lumbuma
1476928554589.png
1476928573860.png
 
HIVI UNAJUA KIREFU CHA CHADEMA?

Na Fumbwe Rashidi N.
Kwa kawaida watu wengi ukiwauliza kirefu cha CHADEma watakwambia ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Nilikuwa najiuliza sana ni demokrasia ya aina gani ambayo chadema wanaihubiri ? Ni maendeleo ya aina gani ambayo hawa chadema wanayabiri? Kwa muda mrefu sijafanikiwa kuyapatia majibu ya maswali hayo ,ila pia nikaendelea kujiuliza wataka demokrasia ya aina gani? Watatuletea maendeleo yapi ktk nchi yetu? Baada ya kukosa majibu ya maswali hayo juu ya maana halisi ya Chadema inayoongozwa mfanyabiashara mjanja na mmiliki we club billicanas bwana yule mbowe ktk pitapita zng na chimbachimba zng niiakutana na maana halisi au kirefu cha chadema.

CHADEMA inamaanisha "Chaggas development manifesto" yani kwa kisukuma maana yake ni chama cha maendeleo cha wachaga/ni chama chenye mlengo wa kupigania maendeleo ya wachaga na watu wa kaskazini in minority sense. Kujua Haya yote inakubidi kwa namna moja au nyengine kuwa mwerevu . Tukirudi nyuma kidogo kipindi cha hayati baba wa taifa alishawahi kusema katika hotuba zake kuhusu wachaga ktk medani za uongozi wa taifa hili,hapa simaanishi kuwa wachaga wote ni chadema. Wakati wa uhai wake toka kipindi cha kupigania Uhuru mpaka akiwa ktk nyadhifa za uongozi wa nchi hayati baba wa taifa alipinga vikali masuala ya udini,ukabila na ukanda.

Lakini ni dhahiri hiki chama kinamrengo wa ukanda na ukabila suala la udini sitaki kulizungumzia leo. Chadema imejikita sana ktk ukanda wa kaskazini haswa mikoa ya Kilimanjaro na arusha ambako huko ndio ngome kongwe na eneo la uasisi wa hiko chama. Huwezi kusema tanga ambayo iko kaskazini ni moja ya ngome za chadema sababu kuwa haina wachaga. K/manjaro na arusha ni mikoa ambayo ndo asili ya wachaga.

Pili hiki chama ni cha kikabila kwa sababu kuwa asilimia 98 ya safu ya uongozi wa chadema wa kitaifa ni wachaga. M/kiti mbowe ni mchagga,naibu Katibu mkuu bara John mnyika ni mchagga,m/kiti wa bawacha Halima mdee ni mchagga,ukirudi ktk baraza la wazee na wadhamini wa chama akina Mzee ndesamburo mchagga na wenzako Bavicha viongozi wa juu ni kutoka kaskazini. Kwa hali hii bado unafikra kuwa hiki ni chama cha demokrasia na maendeleo? Kama ni hivyo utakuwa na mind problems.

Hivi demokrasia ni kuwa piga vita watu kutoka maeneo na k/manjaro na arusha ? Mikoa mengine hakuna viongozi ? Kabla ya Dr slaa kujiuzulu ambae nae alikuwa anatokea karatu huko huko kwenye ngome yao ndo wakawazuga watanzania kumpa Dkt mashinji kuwa Katibu mkuu kivuli. Najua umenielewa ninaposema Katibu kivuli ,hivi nani asiyewafahamu kina Zubeir zitto kabwe na marehemu Chacha wangwe ktk siasa za Tanzania na upinzani kwa ujumla? Hawa ni watu ambao walijitolea kufa au kupona kutetea maslahi ya chadema nje na ndani ya chama lkn jee Leo hii wako wapi ? Ni swami ambalo halihitaji hata msuli wa " DS" kulifahamu hili suala ,walifanyiwa figisufigisu ndani ya chadema kwa sababu sio wachagga.

Kama hio haitoshi mbatia Leo hii a.k.a ahsante kikwete amekuwa mshirika mkubwa wa chadema umeshawahi kujiuliza kwanini? Hadi hili pia linahitaji darasa uweze kuelewa? Daa hembu tujaribu kuwa werevu hawa Jamaa wanatuzuga jamani. Mbowe anatokea Hai na mbatia anatokea vunjo kote huko ni asili ya wachagga kama ukikuta mzaramo na msukuma sijui nikuahidi nini. Ila jaribu kutafuta umbali kutoka hai na vunjo halafu husisha na akili zako usinipe jibu.

Unamkumba Mzee mmoja anaitwa Frederick sumaye? Wakati anatia nia ya kugombea urais mwaka Jana unakumbuka maneno aliyoyasema? Kama umesahau Jamaa huyu alisema kama CCM ikimpitisha Babu Lowassa kupeperusha Bendera ya CCM kwenye urais angehama chama,jee lowassa alipitishwa ? Mbona sumaye kahama chama ? Nadhani sasa umeanza kupata mwanga juu ya hiki chama na maana yao halisi .

My take ,,nadhani umefika wakati muhimu wa ww wa kuelewa juu ya mitazamo ya hiki chama ambacho hakina malengo ya kuwasaidia watanzania Bali kusaidia ukabila wao . Ndg zng watanzania ambao mko huko mnachezeshwa ngome msioijua.Ahsante.

Uliyonena ni ukweli mtupu, ama kwa hakika sijawahi kuwaunga mkono hawa watu, na wala siwashauri watu kuwaunga mkono ila muda si mrefu Wa Tz watajua lengo haswa la hawa watu, kwani hawana nia njema na Taifa hata kidogo, wametawaliwa na ukabila, ukanda, ubinafsi pamoja na uchu wa madaraka uliokithiri. Mungu atatulinda dhidi ya madhalimu hao
Kuna kitu kimoja huwa hakikwepeki uhalisia wa mawazo binafsi na mtazamo na kitu cha kuandikiwa kisha upost
Multiple ID nyingi zinafeli sana kwenye hicho kipengele
 
Kwani kuna tatizo kwa wachagga kupigania maendeleo yao? Maana mara wachagga, mara wakaskazini, mtaelewekaje? Hebu tupe kifupi cha CHAMA CHA MAFISADI.
 
Uelewe, hiki kifupi kipo kisheria, viongozi wa chama ni wapole sana, Chadema is an Entity! ukipelekwa mbele ya sheria ukilipe chama mamilioni ya fedha kwa ajili ya kukibadilishia maana na content, kuupotosha umma na kukidhalilisha?...

CHADEMA inamaanisha "Chaggas development manifesto" yani kwa kisukuma maana yake ni chama cha maendeleo cha wachaga/ni chama chenye mlengo wa kupigania maendeleo ya wachaga na watu wa kaskazini in minority sense. Kujua Haya yote inakubidi kwa namna moja au nyengine kuwa mwerevu . Tukirudi nyuma kidogo kipindi cha hayati baba wa taifa alishawahi kusema katika hotuba zake kuhusu wachaga ktk medani za uongozi wa taifa hili,hapa simaanishi kuwa wachaga wote ni chadema. Wakati wa uhai wake toka kipindi cha kupigania Uhuru mpaka akiwa ktk nyadhifa za uongozi wa nchi hayati baba wa taifa alipinga vikali masuala ya udini,ukabila na ukanda.
 
Chadema ya zaman ilikuwa hivi

Mbowe Mwenyekiti hai
Mzee arf naibu Mwenyekiti mpanda
dr slaa Katibu Mkuu karatu
zitto zuberi naibu Katibu Mkuu kigoma

Mzee arf na zitto walitimuliwa na kuonekana wasaliti

safu ya sasa sijajua sijui ipoje
 
CHADEMA ni jina la kichagga maana yake .......kime(CHA) Washinda (DEMA).
 
Uelewe, hiki kifupi kipo kisheria, viongozi wa chama ni wapole sana, Chadema is an Entity! ukipelekwa mbele ya sheria ukilipe chama mamilioni ya fedha kwa ajili ya kukibadilishia maana na content, kuupotosha umma na kukidhalilisha?...
Why waste so much time energy n funds? Some people should be ignored completely because they are nothing n they have nothing they are just stupid silly hooligans buzzing around aimlessly...there are more important tasks to accomplish than busying with these idiots
 
HIVI UNAJUA KIREFU CHA CHADEMA?

Na Fumbwe Rashidi N.
Kwa kawaida watu wengi ukiwauliza kirefu cha CHADEma watakwambia ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Nilikuwa najiuliza sana ni demokrasia ya aina gani ambayo chadema wanaihubiri ? Ni maendeleo ya aina gani ambayo hawa chadema wanayabiri? Kwa muda mrefu sijafanikiwa kuyapatia majibu ya maswali hayo ,ila pia nikaendelea kujiuliza wataka demokrasia ya aina gani? Watatuletea maendeleo yapi ktk nchi yetu? Baada ya kukosa majibu ya maswali hayo juu ya maana halisi ya Chadema inayoongozwa mfanyabiashara mjanja na mmiliki we club billicanas bwana yule mbowe ktk pitapita zng na chimbachimba zng niiakutana na maana halisi au kirefu cha chadema.

CHADEMA inamaanisha "Chaggas development manifesto" yani kwa kisukuma maana yake ni chama cha maendeleo cha wachaga/ni chama chenye mlengo wa kupigania maendeleo ya wachaga na watu wa kaskazini in minority sense. Kujua Haya yote inakubidi kwa namna moja au nyengine kuwa mwerevu . Tukirudi nyuma kidogo kipindi cha hayati baba wa taifa alishawahi kusema katika hotuba zake kuhusu wachaga ktk medani za uongozi wa taifa hili,hapa simaanishi kuwa wachaga wote ni chadema. Wakati wa uhai wake toka kipindi cha kupigania Uhuru mpaka akiwa ktk nyadhifa za uongozi wa nchi hayati baba wa taifa alipinga vikali masuala ya udini,ukabila na ukanda.

Lakini ni dhahiri hiki chama kinamrengo wa ukanda na ukabila suala la udini sitaki kulizungumzia leo. Chadema imejikita sana ktk ukanda wa kaskazini haswa mikoa ya Kilimanjaro na arusha ambako huko ndio ngome kongwe na eneo la uasisi wa hiko chama. Huwezi kusema tanga ambayo iko kaskazini ni moja ya ngome za chadema sababu kuwa haina wachaga. K/manjaro na arusha ni mikoa ambayo ndo asili ya wachaga.

Pili hiki chama ni cha kikabila kwa sababu kuwa asilimia 98 ya safu ya uongozi wa chadema wa kitaifa ni wachaga. M/kiti mbowe ni mchagga,naibu Katibu mkuu bara John mnyika ni mchagga,m/kiti wa bawacha Halima mdee ni mchagga,ukirudi ktk baraza la wazee na wadhamini wa chama akina Mzee ndesamburo mchagga na wenzako Bavicha viongozi wa juu ni kutoka kaskazini. Kwa hali hii bado unafikra kuwa hiki ni chama cha demokrasia na maendeleo? Kama ni hivyo utakuwa na mind problems.

Hivi demokrasia ni kuwa piga vita watu kutoka maeneo na k/manjaro na arusha ? Mikoa mengine hakuna viongozi ? Kabla ya Dr slaa kujiuzulu ambae nae alikuwa anatokea karatu huko huko kwenye ngome yao ndo wakawazuga watanzania kumpa Dkt mashinji kuwa Katibu mkuu kivuli. Najua umenielewa ninaposema Katibu kivuli ,hivi nani asiyewafahamu kina Zubeir zitto kabwe na marehemu Chacha wangwe ktk siasa za Tanzania na upinzani kwa ujumla? Hawa ni watu ambao walijitolea kufa au kupona kutetea maslahi ya chadema nje na ndani ya chama lkn jee Leo hii wako wapi ? Ni swami ambalo halihitaji hata msuli wa " DS" kulifahamu hili suala ,walifanyiwa figisufigisu ndani ya chadema kwa sababu sio wachagga.

Kama hio haitoshi mbatia Leo hii a.k.a ahsante kikwete amekuwa mshirika mkubwa wa chadema umeshawahi kujiuliza kwanini? Hadi hili pia linahitaji darasa uweze kuelewa? Daa hembu tujaribu kuwa werevu hawa Jamaa wanatuzuga jamani. Mbowe anatokea Hai na mbatia anatokea vunjo kote huko ni asili ya wachagga kama ukikuta mzaramo na msukuma sijui nikuahidi nini. Ila jaribu kutafuta umbali kutoka hai na vunjo halafu husisha na akili zako usinipe jibu.

Unamkumba Mzee mmoja anaitwa Frederick sumaye? Wakati anatia nia ya kugombea urais mwaka Jana unakumbuka maneno aliyoyasema? Kama umesahau Jamaa huyu alisema kama CCM ikimpitisha Babu Lowassa kupeperusha Bendera ya CCM kwenye urais angehama chama,jee lowassa alipitishwa ? Mbona sumaye kahama chama ? Nadhani sasa umeanza kupata mwanga juu ya hiki chama na maana yao halisi .

My take ,,nadhani umefika wakati muhimu wa ww wa kuelewa juu ya mitazamo ya hiki chama ambacho hakina malengo ya kuwasaidia watanzania Bali kusaidia ukabila wao . Ndg zng watanzania ambao mko huko mnachezeshwa ngome msioijua.Ahsante.

Some people likes Chaggas and some like you do not; but no thoughtful man can doubt the fact that Chaggas are beyond all question the most formidable and the most remarkable ethinic group which has ever appeared in this country.

Since 1961, successful regime have tried to marginalize and isolate this group from education to goverment positions and this is attested fact but all these effort have not deters Chaggas from achieving whatever they wanted to achieve.

History had thaught us that those who habour hatred towards others like you are likely to never acomplish even what ordinary peolpe can acomplish in the group through which they direct their hatred.

To this end I put Chaggas straggle and achieviment on par with other remarkable ethinic group like Kikuyu, Jews etc. Your hatred will only spur us (Chaggas) towards more success.
 
Back
Top Bottom