CUF bara wamlaumu, wamtega Maalim Seif Sharrif Hamad

Mtu ajitoe mwenyewe. Tena wakati chama kipo katika aliyakusaka ushindi! Alafu anakuja na mijitu inashangilia!!!!!
BAADA YA PROFESA KULETEWA LOWASSA, AKAONA AONDOKE, SASA MAALIM AKAZUBAA KUKUBALI. CUF WAZALENDO INAKARIBIA.UKAWA BYE BYE...😱
 
Profesa angejitoa once and forall kwanye hizi movements za kuburuzana kama ya ukawa haina maana yoyote kwa upande cuf.
Kosa kubwa walilofanya cuf nikutokuchukua maamzi wakati huo profesaaaa alipo jitoa, na ninahic maalim alifanya hvyo kwa makusudi, kwa sasa wamechelewa sana, profrsaa atawasumbua balaaa...
 
Shule muhimu sana, hivi Seif ndie anaechagua au kutambua mwenye kiti? Duhh. Haya Ni maajabu ya Dunia.
 
ila hiki nacho kituko mwanachedema kumwambia mwana CUF hajitambui
 
Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) imeendelea kuwa ya utata kufuatia wana-CUF, ambao wengi ni wafuasi wa Mwenyekiti 'aliyefukuzwa' wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba kumtaka Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa chama hicho la sivyo asitarajie kukanyaga kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni jijini Dar es Salaam.

Wakiongea katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam, wanachama hao ambao wameweka kambi katika ofisi hizo wamesema endapo Maalim ana mapenzi mema na chama hicho anapaswa kumtambua Profesa Lipumba la sivyo ataishia huko huko Zanzibar.

"Huyu Maalim Seif anaiyumbisha sana CUF na amekuwa anafanya hivi kwa miaka. Hadi kufikia hali hii Profesa Lipumba amepitia magumu mengi. Sasa hatukubali kumwona Seif anamburuza Profesa, tumeamua kusimama kwa niaba yake'" alisema Samson Kapilima anayefanya biashara ya kuuza mbao katika maeneo hayo.

Akiongea na mwandishi wa Dar24Media aliyekuwa maeneo hayo, Abdalla Kambi aliyejitambulisha kuwa ni mwanachama mkongwe wa CUF amesema kuwa ili kutuliza hali ya mtafaruku iliyopo katika chama hicho Seif Hamad anatakiwa kuitisha mkutano na kutangaza kumtambua Profesa Lipumba kinyume chake watachukulia kuwa ametimiza azma yake ya miaka miaka ya kuigawa CUF bara na kubaki na CUF Zanzibar.

Mwanachama mwingine wa CUF ambaye alikuwepo katika maeneo ya ofisi hizo za CUF Buguruni, anayejulikana kama Ramadhani Haji maarufu kama " Mzee wa mbende mbende' alimlaumu Seif Sharrif Hamad kuwa daima amekuwa mwepesi wa kuwasaliti na kuwahukumu viongozi wenzake hasa wa upande wa Tanzania Bara.

“Huu mchezo sisi tuliujua miaka mingi maana maalim Seif huwa ana chuki ya wazi sana na watu wa Bara. Alikuwa anamtumia Profesa Lipumba ili kupata uhalali wa Tanzania Bara. Profesa Lipumba ana wafuasi wengi tu Bara na Visiwani na hivyo ana uwezo wa kuanzisha CUF B ambayo itakuwa tayari kushiriki uchaguzi hapo 2020,” alisema Ramadhani Haji.

Wanachama hao wa CUF wamesema wameanzisha umoja wao unaoitwa TWENDE NA PROFESA LIPUMBA ili kumwonyesha Maalim Seif kuwa asiwachukulie rahisi rahisi
Wahuni hao wakiwa na huyo macho kodoo
 
Tamko la CUF huishia na HAKI SAWA KWA WOTE. Kilichoandikwa hapo ni ndoto za muandishi na wala hakuna kitu kama hicho.

Huyu tapeli Lipumba toka aonekane ile siku ya uvamizi wala hajaja tena hapa Buguruni. Mimi nipo hapa Buguruni leo Alhamisi saa 5 asb wala simuoni huyo lipumba.

Acha propaganda uchwara. Pesa yenyewe Magufuli kaibana huwezi kulipwa zaidi ya Buku kwa hii kazi.
 
ccm wamechanganyikiwa hawakujuwa kuwa wakati ni ukuta warioba kawambia jana Tanzania kuna makabila ya ccm na chadema na cuf ccm wanajuwa kuwa hadi sasa kabila kubwa zaidi ni chadema la 2 cuf la mwisho ccm !!
kwa maana hiyo ccm hamtaweza kulibadilisha hili kabila chadema!!
 
Ili kuijenga CUF kwa Tanzania bara anahitajika mtu mwenye uwezo mkubwa kama Lipumba au hata zaidi ya Lipumba au uwepo wa Lipumba. Bila hivyo chama kitapoteza wanachama wengi mgogoro ukiendelea ndani ya chama. Busara zaidi ya viongozi wa CUF zinahitajika
 
Professor anaijua hii game vizuri sana na anawafuasi wengi sana bara
 
Hali ya kisiasa ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) imeendelea kuwa ya utata kufuatia wana-CUF, ambao wengi ni wafuasi wa Mwenyekiti 'aliyefukuzwa' wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba kumtaka Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharrif Hamad kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti halali wa chama hicho la sivyo asitarajie kukanyaga kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni jijini Dar es Salaam.

Wakiongea katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam, wanachama hao ambao wameweka kambi katika ofisi hizo wamesema endapo Maalim ana mapenzi mema na chama hicho anapaswa kumtambua Profesa Lipumba la sivyo ataishia huko huko Zanzibar.

"Huyu Maalim Seif anaiyumbisha sana CUF na amekuwa anafanya hivi kwa miaka. Hadi kufikia hali hii Profesa Lipumba amepitia magumu mengi. Sasa hatukubali kumwona Seif anamburuza Profesa, tumeamua kusimama kwa niaba yake'" alisema Samson Kapilima anayefanya biashara ya kuuza mbao katika maeneo hayo.

Akiongea na mwandishi wa Dar24Media aliyekuwa maeneo hayo, Abdalla Kambi aliyejitambulisha kuwa ni mwanachama mkongwe wa CUF amesema kuwa ili kutuliza hali ya mtafaruku iliyopo katika chama hicho Seif Hamad anatakiwa kuitisha mkutano na kutangaza kumtambua Profesa Lipumba kinyume chake watachukulia kuwa ametimiza azma yake ya miaka miaka ya kuigawa CUF bara na kubaki na CUF Zanzibar.

Mwanachama mwingine wa CUF ambaye alikuwepo katika maeneo ya ofisi hizo za CUF Buguruni, anayejulikana kama Ramadhani Haji maarufu kama " Mzee wa mbende mbende' alimlaumu Seif Sharrif Hamad kuwa daima amekuwa mwepesi wa kuwasaliti na kuwahukumu viongozi wenzake hasa wa upande wa Tanzania Bara.

“Huu mchezo sisi tuliujua miaka mingi maana maalim Seif huwa ana chuki ya wazi sana na watu wa Bara. Alikuwa anamtumia Profesa Lipumba ili kupata uhalali wa Tanzania Bara. Profesa Lipumba ana wafuasi wengi tu Bara na Visiwani na hivyo ana uwezo wa kuanzisha CUF B ambayo itakuwa tayari kushiriki uchaguzi hapo 2020,” alisema Ramadhani Haji.

Wanachama hao wa CUF wamesema wameanzisha umoja wao unaoitwa TWENDE NA PROFESA LIPUMBA ili kumwonyesha Maalim Seif kuwa asiwachukulie rahisi rahisi

Sasa hao Samson Kapilima na Ramadhani Haji tu ndiyo "wafuasi wengi wa CUF" siyo?
 
Chadomo hawakufurahishwa....Profesa ee piga kazi mkubwa,achana na hawa wauza sura....
 
Back
Top Bottom