Recent content by Fukuyama_

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna iphone 13 original nchini Tanzania?

    Then watu wanajadili mawazo ya kichaaa? Kuna wakati hata saa mbovu hutoa majira kamili mkuu. La msingi nikuangalia huyi kichaa katoa hoja gani yenye mashiko kwa jamii
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa kama siku nyingine mkijua hamjajiandaa kuzungumza na Watanzania kupitia Press, msiwe mnatusumbua

    Alikuwa na mhemko sana, jasho jiingiii afu bila bila. Haikuwa na haja ya hii press ya leo maana hakujiandaa hata
  3. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wa nchi hii laana ya Mungu haitawaacha milele. Mkatubu

    Wanachoona ni muhimu kwao ni Sadaka na fungu la kumi tu, wanasahau kwamba uhai wa mtu ni zaidi ya dhabihu na mali. Kun siku yatafika mwsho haya.
  4. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Hivi ni wakati gani wazungu wanakuwa wafadhili na ni wakati gani hao hao wanakuwa mabeberu?
  5. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Kaka umechambua vyema bila upendeleo. Hongera mzee kwa kufanya utafiti makini na SWOT analysis iloyo balance mizani.
  6. F

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hivi ni kwa nn hata kama maji hayatoki lakin meter zinasoma? Ina maana zinaendeshwa na upepo au kitu gani wapendwa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. F

    JamiiForums Tanzania Zitto adai Serikali imekopa kisiri siri pesa za kujenga mradi wa umeme wa mto Rufiji au Stiglers Gorge

    Huoni wanaficha? Hata wakisema hamna wa kuwakosoa
Back
Top Bottom