Recent content by fukunyuku1234

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Tuma private meseji tu namba ya nini usawa huu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nimepiga hesabu ningewekeza UTT ningekua niko vizuri

    Kabisa UTT mpango mzima
  3. F

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

    KUMEKUCHA Msemaji Makoba amefikiwa Kazi yake ya kwanza hiyo tunampima kama atafaulu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Nimechoka kwa kweli nawaza nimpige chini wanaume wenyewe kuombwa hela hampendi sasa ndio itakuwa mwanamke kuombwa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunamsaidiaje Mpina?

    Serikali na Bunge vyote vimemgeukia Mh Mpina hapa kuna jambo Mh Mpina kasema kweli ndio mana serikali na bunge linahangaika TUPAZE SAUTI KUMTETEA MPINA
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

    Kwani nyie mmekatazwa kutumia???? Tatizo hamna matumizi nazo mnaishia kulalamika Tafuteni matumizi na nyie mtumie
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

    We muislam acha wivu huwezi ifananisha dini yenu ilokuja juzi na dini kongwe
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa kiume unaombaomba sana pesa hii imekaaje?

    Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko? Mawazo yenu ni muhimu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kumlinda Asimwe

    100 % correct na kwa kufanya hivyo huyo mtoto angeweza kupatikana akiwa hai maana katoroshwa tangu 30/05/2024 kakutwa amefariki 17/06/2024
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kumlinda Asimwe

    Yani kama Taifa tuna tatizo kubwa la viongozi,Mpina kawashika pabaya macho akili na masikio yote yako kwake Tangu litokee hili la kupotea kwa huyu mtoto mpaka kifo chake hakuna karipia lolote lililotoka kutoka kwa viongozi si Rais wala Waziri Mkuu Inasikitisha sana
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kumlinda Asimwe

    Kabisa 2 yrs old kid kwelii
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tumeshindwa kumlinda Asimwe

    Taarifa za kifo cha huyu mtoto zimeumiza mioyo yetu, mtoto wa miaka miwili kufanyiwa ukatili huu si jambo la kulifumbia macho na ilipaswa tupaze sauti tangu alipokamatwa tarehe 30/05/2024. Uhai wa Asimwe umedhulumiwa na watu wabaya kwa sababu zao wanazozijua wenyewe lakini kama Taifa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nauchukia Utanzania wangu

    Tanzania ni nchi yenye vilaza wa kutosha kwa mtu smart huwezi kujivunia kabisa Kuanzia juu mpaka chini shida tupu wajinga wengi,wajuaji wengi na wkati hawajui lolote Utajiri wa mbongo ni kufanya kazi kuwa na nyumba na kuendesha Toyota hapo anaona kaukata
  14. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

    Hovyo Hovyo Hovyo Hovyo Hovyo TUNA SAFARI ndefu sana
Back
Top Bottom